Kufuata yale wanayofanya wengine sio vibaya sana endapo utafanya kwa namna yako ya tofauti. Jambo lililopo laweza kuwa jipya likifanywa kwa namna ya kipekee (inovative and creatively). Maana unaweza ukakamua maziwa ya paka ukakosa mteja, ila ukipata wateja mwenzio atakuja na mtindo bora wa kumkamua paka huyohuyo, ndio ushindani huo.