In case uchumba unavunjika

kui

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2009
Posts
6,467
Reaction score
6,500
Nini kifanyike na Pete.

Wakaka: will you take the ring back?

Wadada: will you keep the ring au utairudisha?
 
Reactions: BAK
Pete itakuwa zawadi yake..!

Hivi pete za ndoa zinarudishwa?

Kwa zawadi poa sana mkuu, za ndoa sijawahi sikia zinarudishwa
 
Reactions: BAK
Acha utani ..duh!
Vidume vina uchungu na pesa..!
lakini inategemea sababu za nyie kuachana..
Kama mdada alicheat...aaaah, hata mimi naichukua aisee!

kucheat wapi ni ile imefikia hatua hamuelewani kwa lolote
unakua unalazimisha tu
 
Reactions: kui
Namnyang'anya kabla sijambwaga halafu huyo kwa mdosi kupiga pesa. pesa itakayo patikana ndio itakuwa chambo ya kumpata mwingine.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…