Pete itakuwa zawadi yake..!
Hivi pete za ndoa zinarudishwa?
mie nimeuliza tu ili kujua..kwani anaongelea pete ya uchumba ama pete ya ndoa......
mi nilinyanganywa akapewa mwingine
Acha utani ..duh!
Vidume vina uchungu na pesa..!
lakini inategemea sababu za nyie kuachana..
Kama mdada alicheat...aaaah, hata mimi naichukua aisee!
pole sana
mi niliitupa chooni na barua ya posa ckutaka kuviona kabisa
kucheat wapi ni ile imefikia hatua hamuelewani kwa lolote
unakua unalazimisha tu
mi niliitupa chooni na barua ya posa ckutaka kuviona kabisa
Really?!, C'mon!