Huna data, huna details, huna comparison, hujajisumbua hata kutoa anecdotes, una assume tu kwamba kila mtu atakubaliana na wewe.
What is "poor economies"? Kwa standards gani? Umefanyaje comparison ya Africa na Latin America na Asia? Africa kuna poor economies au kuna mismanaged economies? Unaelewa tofauti ya poor economies na mismanaged economies?
What is "a lot of diseases"? Una statistics? Kama mtu hajui chochote kuhusu haya mambo utamuonyeshaje kwamba Afrika hali ni mbaya zaidi ya Latin Amerika na Asia?
Mortality rate very high compared to who?
Civil war "here and there" what do you mean by "here and there"?
How can you demonstrate that africa has poor leadership?
The point is not that I disagree with your assertion, rather you do not put even anecdotal references to support your premises, this points to intellectual lazyness, which is my answer to your question.
The answer to your question lies in your question. If you will look carefully at how your question is framed you will get the answer right there.
Najua wewe si mtoto wa darasa la nne, lakini umeuliza swali vibaya kuliko mtoto wa darasa la nne asiyeweza kupata maksi nzuri.