halafu kinameza mate kishenzi.naona kuna ki-dog kinasikilizia kwa pembeni!!
kaka ongeza mwendo maana huyo ndege akikukamata kitakachokutokea ni kama ambacho hao wazee wa krismas wanamtenda huyo mbuzi.naona kuna ki-dog kinasikilizia kwa pembeni!!
kiongozi hapa nilipo nimechoka balaa!natamani kukata tamaa!!huyo mdudu ndo maisha yenyewe,yananikimbiza balaa!!nipe dili basi taamu!kaka ongeza mwendo maana huyo ndege akikukamata kitakachokutokea ni kama ambacho hao wazee wa krismas wanamtenda huyo mbuzi.
afadhali yako una kipilipili mi nakaribia kuishiwa nywele kwa kunyonyoka kwa shida.kiongozi hapa nilipo nimechoka balaa!natamani kukata tamaa!!huyo mdudu ndo maisha yenyewe,yananikimbiza balaa!!nipe dili basi taamu!
Mambo ya uchagani,teh teh teh!!"kithuthio eee!"
haya bwana umeshinda weye.taamu huo mwili wa kufumania unalia shida!!!!haya bwana!!