Importing cars above 8 yrs

Juma salehe

Member
Jan 13, 2014
40
16
Eti wajameni ni kweli wabunge wanakomaa tusiingize gari nchini zenye umri zaidi ya miaka nane au watapiga ushuru maradusu ya huu uliokuwepo
 
Hukusikiliza budget ya waziri Mkuya? Wanasema magari machakavu ndio yanaongeza ajali nchini but in real sense barabara zetu ndio zinaleta ajali.. walitakiwa kusema wanaongeza vyanzo vyya mapato na sio kutumia gia ya ajali kama kigezo

Barabara mahandaki matupu.. gri unaagiza Japan ikiwa na Km 100,000 na bado nzima kabisa ukiiendesha tanzania km 3000 tu inakua scrapper na bado watu wanakwambia shida ni umri wa magari tunayoagiza!! Sheeeeeeeeeenzy sana nchi hii manina
 
Serikali imeshindwa kubuni vyanzo vingine vya mapato,imeamua kumgeuzia kibao mlalahoi.
 
Back
Top Bottom