Imported Cars from JAPAN Versus DUBAI

Lamchina

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
240
120
Wadau nahisi mko POA
Kwa wale wenye uzoefu nahitaji kujua ubora wa magari used imported toka JAPAN versus DUBAI kwa magari ya aina zote.

Ni zipi zenye ubora na maisha marefu, kustahimili njia mbovu mbovu, no frequent service, and all specification ambazo can lead to long lasting and durability.

Thank you for your valuable contribution!!!
 
dubai wenyewe wanaagiza toka japan kwanza. hivyo wewe ukinunua toka Dubai utakuwa umenunua gari ambayo ilishatumika Japan na Dubai pia. Hivyo afadhali kuagiza moja kwa moja toka Japan
 
dubai wenyewe wanaagiza toka japan kwanza. hivyo wewe ukinunua toka Dubai utakuwa umenunua gari ambayo ilishatumika Japan na Dubai pia. Hivyo afadhali kuagiza moja kwa moja toka Japan

Achukue hii.
Gari ya dubai ni sawa sawa na kununua hapa.
 
Back
Top Bottom