Important Vehicle Indicators and Their Functions 🚗

Important Vehicle Indicators and Their Functions 🚗

1744401197741.jpg
 
Ufafanuzi wa rangi
Kwenye alama yoyote itakayoonekana kwenye screen audio dashboard ya gari yahoo zingatia haya
Rangi nyeupe/kijani: hakuna shida
Rangi ya njano: tahadhari, kuna kitu hakiko sawa lakini madhara sio makubwa... Ni rangi ya tahadhari pia
Rangi nyekundu: kuna shida kubwa.. Chukua hatua haraka
 
Hiyo ya upepo pungufu kwenye tyre sensor zake ziko wapi na inasomaje wakati tyre zinazunguka
WHAT IT MEANS & WHAT YOU NEED TO DO. The purpose of the TPMS (Tire Pressure Monitoring System) is to alert you when tire pressure is too low and could create unsafe driving conditions. If the light is illuminated, it means your tires could be underinflated, which can lead to undue tire wear and possible tire failure.1 Apr 2021
SluFtkG6HqbbRBePsz5aZ42fkUIVvBUhE9X4aiuG.jpg
 
Back
Top Bottom