Joeli
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 4,941
- 3,402
Jukwaa hili sio la kuuza au kununua simu, tafadhari tuwe makini kama unataka kuuza simu, vifaa chochote vya electronic au huduma yoyote unayotoa. nenda jukwaa la matangazo madogo madogo ndo mahala pake,mnanipa kazi isiyo na ulazima kuhamisha post za matangazo...
i hope tumeelewana
i hope tumeelewana