Kama kweli vile.
African politicians all study from the same school....... whenever they fail to reason with their competitors ,violence come automatic!!!Hii slogan ni sawa na kisu kikali kinachotishia uhai wa washika mpini waliojisahau na kudhani wana haki miliki na Tanganyika..
Mwanzoni walidhani haitawezekana lakini sasa kisu hiki kimeanza kugusa nyama na makali yake yameanza kuwatisha sana hata kabla hakijaufikia mfupa! Au mshipa mkuu wa fahamu
Kuidhibiti slogan ya NO REFORMS NO ELECTION isizidi kuwaharibia haya ndio maazimio mapya
1. Kupiga marufuku mikutano ya hadhara
2. Kuwakamata viongozi wakuu na kuwafungulia kesi ghushi zisizo na dhamana
3. Kupiga marufuku BAN kutamka NO REFORMS NO ELECTION...
Yaani ni kosa la jinai sasa kutamka, kuandika ama kutaja kwa namna yoyote ile hayo maneno
It has never been easy! Hizi marufuku ni za muda tuu.. Zitafeli vibaya sana ...Mafuriko kamwe hayazuiwi kwa mikono
View attachment 3300709View attachment 3300710
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mzee wa kuuma na kupuliza
Tutasemea mitaani,maana ratio ya wafuasi wa vyombo vya dola na sisi raia ni almost negligible.Hii slogan ni sawa na kisu kikali kinachotishia uhai wa washika mpini waliojisahau na kudhani wana haki miliki na Tanganyika..
Mwanzoni walidhani haitawezekana lakini sasa kisu hiki kimeanza kugusa nyama na makali yake yameanza kuwatisha sana hata kabla hakijaufikia mfupa! Au mshipa mkuu wa fahamu
Kuidhibiti slogan ya NO REFORMS NO ELECTION isizidi kuwaharibia haya ndio maazimio mapya
1. Kupiga marufuku mikutano ya hadhara
2. Kuwakamata viongozi wakuu na kuwafungulia kesi ghushi zisizo na dhamana
3. Kupiga marufuku BAN kutamka NO REFORMS NO ELECTION...
Yaani ni kosa la jinai sasa kutamka, kuandika ama kutaja kwa namna yoyote ile hayo maneno
It has never been easy! Hizi marufuku ni za muda tuu.. Zitafeli vibaya sana ...Mafuriko kamwe hayazuiwi kwa mikono
View attachment 3300709View attachment 3300710
Appostle kuna muujiza huku.African politicians all study from the same school....... whenever they fail to reason with their competitors ,violence come automatic!!!
#Free Lissu
NENR
Nawacheck tu hapa
Tutasemea mitaani,maana ratio ya wafuasi wa vyombo vya dola na sisi raia ni almost negligible.
Kila mtu atasema na jirani yake maana mpaka sasa tumeishaelewa,tunaendeleza tu mitaani kwetu.
Wamemfanya kawa kama Mandela sasa.
Sasa hapo kama kuna mtu haelewi maana ya NO REFORMS NO ELECTION huyo anajizima data,
😆😆😆😆Sababu nyingine ya kutaka reform ya tume iliyojaza makada wa kijani wanaoteuliwa na mwenyekiti wa chama cha kijani.
View attachment 3300774
Kama limo, basi na hiyo 4R pia ifutwe- twende pasu kwa pasuHili neno liko kwenye 4R