Impact ya Slogan ya NO REFORMS NO ELECTION

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,081
Reaction score
828,868
Hii slogan ni sawa na kisu kikali kinachotishia uhai wa washika mpini waliojisahau na kudhani wana haki miliki na Tanganyika..

Mwanzoni walidhani haitawezekana lakini sasa kisu hiki kimeanza kugusa nyama na makali yake yameanza kuwatisha sana hata kabla hakijaufikia mfupa! Au mshipa mkuu wa fahamu

Kuidhibiti slogan ya NO REFORMS NO ELECTION isizidi kuwaharibia haya ndio maazimio mapya
1. Kupiga marufuku mikutano ya hadhara
2. Kuwakamata viongozi wakuu na kuwafungulia kesi ghushi zisizo na dhamana
3. Kupiga marufuku BAN kutamka NO REFORMS NO ELECTION...
Yaani ni kosa la jinai sasa kutamka, kuandika ama kutaja kwa namna yoyote ile hayo maneno
It has never been easy! Hizi marufuku ni za muda tuu.. Zitafeli vibaya sana ...Mafuriko kamwe hayazuiwi kwa mikono
1744395182593.jpg
1744395188246.jpg
 
View attachment 3300709View attachment 3300710
Sasa hapa tushike ya nani?
 
Back
Top Bottom