Hizi lugha za kisiasa hazina nafasi kwenye uchumi. Nchi karibu zote zinakopa. China imefika pale kwa kukopa na nchi nyingine pia. Tunahitaji pesa tufanye investment ya kueleweka ili watu wapate ajira na uchumi ukue.Yaani ukope ili wakuwekee masharti au? And then if we do not spend yet wanakiri tumekusanya pesa nyingi hiyo luga wewe umeielewa au? Its their negotiation style...tutakopa tutakapo hitaji so far tunataka kutengeneza independency kwenye uchumi wetu na kujinasua kwenye strings zao...wamechungulia wakaona mfungwa mmoja anakaribia kufungua milango ya magereza...