johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Shirika la Fedha Duniani limesema bara la Afrika litakutana na athari za vita ya Russia na Ukraine mwaka 2023 ambapo bei za vyakula zitapanda sana.
Source: BBC
Source: BBC
Anahamasisha ufisadi na Watanzania wapo kimya.aisee hicho nilichokisikia ni utopolo plus
Siiti mtu lipaka kwa kumuonea wala kutokana na jinsia yake bali ni kutokana na matendo yake maovu.Kwani ndio huyu ulikuwa unamuongelea hapo juu?
Eeeeh,...NGACHOKASiiti mtu lipaka kwa kumuonea wala kutokana na jinsia yake bali ni kutokana na matendo yake maovu.
Ni lipaka jike-pori na simuonei kwa kumwita hivyo.Rais wa nchi kuhamasisha ufisadi tena kupitia TV ya Taifa ndo nini?
Una utapiamlo wa akili? Mwisho wa kunukuu.Uhuru wa Rais kuhamasisha ufisadi waziwazi tena kupitia TV ya Taifa ruksa ila uhuru wa mimi kulaani madhaifu ya Serikali siyo ruksa?Una utapiamlo wa akili?View attachment 2146636
Kwa hiyo hapa ndio kahamasisha ufisadi?Anaepaswa kujishika akili ni huyu anaehamasisha ufisadi katika Taifa tena kupitia TV ya Taifa🐒🐒🐒View attachment 2146871
Huwezi kubadili nyeusi kuwa nyeupe kwa kujificha kwenye chaka la kujitapa kuwa una akili kubwa.Kwa hiyo hapa ndio kahamasisha ufisadi?
Hiyo methali Kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake ni ya leo?
Mbona iko wazi kwamba kila mtu anastahiki kile ambacho ni haki yake.
Kwa hiyo mawaziri si wana mishahara,posho na marupurupu yao? Huo ndio urefu wa kamba yao. Wapime na wapate wanachostahili. Huo ndio ujumbe wa Mama Samia. Wenye akili fupi mmekaa vijiweni mnadanganyana utumbo!
Kwa hii mistari mitatu sijajua hiyo vita inahusiana vip na mashamba yetu huku dunia ya tatuShirika la Fedha Duniani limesema bara la Afrika litakutana na athari za vita ya Russia na Ukraine mwaka 2023 ambapo bei za vyakula zitapanda sana.
Source: BBC