IMF: Bei za Vyakula Afrika zitapanda mwaka 2023

IMF: Bei za Vyakula Afrika zitapanda mwaka 2023

Eeeeh,...NGACHOKA
Mapaka yapo madarakanišŸ‘‡šŸ¤”šŸ¤”šŸ¤”
20220311170002.jpg
ModPv.jpg
AQwZ_m.jpg
 
Kama viongozi wetu wa afrika wangekua makini katika kuhakikisha nchi zoa ziko salama wangeshughurika na madhara kama haya mapema ilaaa sasa kwa kuwa nao wao hawajiamini na kila kitu ni kutegemea njee na ndio mana madhara yakiwa kule na huku Afrika tunapata madhara
Niliwahi kusema, marais wengi wa Afrika wamekamatwa masikio na mabepari katka kuongoza nchi zao. Siyo kama wanapenda, la hasha. Huoni ni heri wakubaliane na maagizo ya mabepari kuliko kunyimwa misaada au hata kupoteza maisha kama akina Gaddaf.

Angalia kama akina Maduro kule Venezuela, wanaishi kwa mashaka kwa sababu ya kukataa masharti ya mabepari.

Afrika hutengenezewa matukio ili mabepari wafanye biashara.
 
Kana wao ndio mungu basi sawa vyakula vitapanda bei
Shirika la Fedha Duniani limesema bara la Afrika litakutana na athari za vita ya Russia na Ukraine mwaka 2023 ambapo bei za vyakula zitapanda sana.

Source: BBC
 
2023? Waambie warudie tema mahesabu yao. Bei zilipanda hapa TZ kabla ya vita.
Shirika la Fedha Duniani limesema bara la Afrika litakutana na athari za vita ya Russia na Ukraine mwaka 2023 ambapo bei za vyakula zitapanda sana.

Source: BBC
 
Laiti Africa ingekuwa na viongozi, huu ndio ulikuwa muda wa kutengeza pesa hasa katika sekta ya kilimo kuziba pengo la soko la Urusi na ukrain ila nchi zetu hizi ni majanga tupu.
Shirika la Fedha Duniani limesema bara la Afrika litakutana na athari za vita ya Russia na Ukraine mwaka 2023 ambapo bei za vyakula zitapanda sana.

Source: BBC
 
Shirika la Fedha Duniani limesema bara la Afrika litakutana na athari za vita ya Russia na Ukraine mwaka 2023 ambapo bei za vyakula zitapanda sana.

Source: BBC
Kmmzao yani bara letu, ardhi yetu, mazao yetu alafu vyakula vipande labda vya supermarket na huko kwao
 
Back
Top Bottom