IMF April 2019 GDP Figures. Kenya Hits $99 Billion.. Tanzania Overtaken by Ghana

Tutaenda nanyi hivi hivi

dollar.jpg
 
Look at you fool. Kwa iyo unafiq ni kukataa vitu visivyomake sense.
Wewe unataka nikubali bila kuhoji? Ndio unafiq?
Do you know propaganda, i do not take these international org serious bcoz of their past involvement in sabotaging other economies, na nyinyi wakenya hamuhitaji kusemwa na imf ndio niwafaham, nyinyi from my perception in this marathon, we're catching you guys, i was born in kilimanjaro, nimeishi chuga, nafika sana kenya nina ndugu huko. You guys hamna jipya tena, infact mnarudi nyuma vitu basic sana.
Kwa iyo budaboss achana na unafiq wangu, wanafiki ndio huwa wa kwanza kuattack wengine kuwa ni wanafiki.
Propaganda ndio hii kudai ati UNDP kusabotage economy za mataifa mengine.

Sawa bro. Lakini nashindwa mbona org kama IMF, UNDP etc idanganye kuhusu Tanzania tu na sio hayo mataifa mengine yote? Kwani wana shida gani na nyinyi? Sasa ndio maana nikakuliza, mbona basi muamini yale mambo negative wanayosema kuhusu Kenya, mfano: hali ya njaa na umaskini, lakini mnapinga wanayosema kuhusu Tanzania?

Kweli, kama vile umesema, mambo mengine hazimake sense. Lakini sasa kama hamtaki za IMF/ UN, basi leteni ripoti zinazosema tofauti. Bora zisiwe zile zile za vijiweni, ati "born in Kilimanjaro....chugga....nimefika Kenya....bla bla bla".
Tulete basi na za twaweza pia.
 
Hivi umesoma vitu nilivyokuwa nambishia nyang'au mwenzako? Leta source inayosema malnourished Tz ni 92% and other percentage he was giving me without credible sources.
Hayo ya imf na undp sijui umetoka nayo wapi, we wasn't arguing about imf, though imf once sabotaged nyerere sababu hakuafikiana nao things nyerere thought were unfair. Na ndio waliyumbisha uchumi wetu pakubwa, people had to line up to get sugar, soap and other basic stuffs from the government. No man/shop was able to acquire those things sababu imf blocked us. So we have suffered sababu ya imf, they are the same now. Sasa ww soma uongo mwenzako alikuwa anauleta alafu msaidie kuback up his claims with credible sources, naona unadandia treni kwa mbele.
 
If you take Kenya's average growth to be 6% in last 3 years
Ur 2016 gdp was 74 bil usd
With growth rate of 6% averagely
2017 was 78.4 bil usd
2018 was 83 bil USD
2019 will be 88bil USD
2020 91bil usd

Unless u tell me ur GDP growth is more than 6% ..or expalin ?
Duh ,that's not how GDP growth is measured or calculated .Don't expose your foolishness please.
 
If you take Kenya's average growth to be 6% in last 3 years
Ur 2016 gdp was 74 bil usd
With growth rate of 6% averagely
2017 was 78.4 bil usd
2018 was 83 bil USD
2019 will be 88bil USD
2020 91bil usd

Unless u tell me ur GDP growth is more than 6% ..or expalin ?
Shit, this is so damn of you....wah...I think this is the shittiest thing I have seen on JF...Next time, before exposing your foolishness, do a lot more research on how GDP is calculated!
 
Back
Top Bottom