Imevuja: Audio mpya Diamond akililia penzi la Wema

Imevuja: Audio mpya Diamond akililia penzi la Wema

Chuki nae ananilipia hela ya kula au bila yeye siwezi ishi. Tatizo sio kuzaa bali huyo aliyezaa kazaa wangapi?

MBANANO awape wengine MPANUKO ampe Diamond hii dunia sio fair kabisa.

Basi ni kuelimisha wote maana sio ajabu duniani, na wakiozaa wanahitaji kupata raha maishani na kupendwa.

Haijalishi watoto wangapi mwanaume au mwanamke amezaa zaidi inakuja kwa wawili wahusika.
 
Mkuuu zilee nyimbo mbili alizo release hamnaaaaa kituuuu paleee
Ilaaaa sasa huuuu uliovujaaa ni balaaa tupuuu
Hata kama amesample bit ilaaa ujumbee upo gudiiii
Mondi katikaa ubora wakeeee..
 
Wema alikua kiboko yake

Haka kawimbo kana mahadhi kama ya nyimbo za yamoto band
 
Wema alikua kiboko yake

Haka kawimbo kana mahadhi kama ya nyimbo za yamoto band

Inasikitisha esp kuwa kwamba aliuimba wiki moja baada ya bday ya wema. Kipindi kile anaachika, ila now tambalale anakula bata na ana furaha sana sana haifichiki
 
Inasikitisha esp kuwa kwamba aliuimba wiki moja baada ya bday ya wema. Kipindi kile anaachika, ila now tambalale anakula bata na ana furaha sana sana haifichiki

Haaaaa life goes on i agree...
Aliumia maskini alivyoachwa
 
dedication kwa miss neddy.
Kinachoniuma ni mazoea tu my ex love.
Siri yangu tu mpenzzi, naitunza japo wanaoweza ni wachachee!!
Nakukumbuu.. Nakukumbuka eenh!
Nakukumbuka, mwenzako silali...
Mie, kinachoniuma ni mazoea..
................................
miss you very much love..
 
Last edited by a moderator:

Sijamuona siku nyingi huyoo
 
Last edited by a moderator:
Beat kila kitu melody ni sawa na wimbo wa yamoto band najuta,
Umefanyika ujanja ujanja wa maneno tu.
 
Back
Top Bottom