Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
Mimi wa kiume. Nipotezee tuu bro najifurahisha tuu huku wakati nasubiria final ya BARCA NA JUVE.
mkuu naomba niku ulize we ni wa kiume au wa kike? samahani lakini!!
Mimi wa kiume. Nipotezee tuu bro najifurahisha tuu huku wakati nasubiria final ya BARCA NA JUVE.
Hutoamini leo JUVENTUS anashinda!
Chiellini yupo nje. Mmebakisha makapi tuu ndani. Barca lazima abebe treble. Bahati mbaya ronaldo hataangalia hii gemu ana mauchungu ya kumegewa na kibabu blatter
Hivi daimond hana cha kuimbc kingne zaid ya mapenzi na kujamiana???? Au mpaka mabomu yalipuke gongo la mboto
Limekuchoma. Kale ndimu changanya na JIC ukiweza koroga na SHABU na tumavi kidogo vya ndomo unywe
Diamond akiimba kitu kingine mbali na mapenzi atashuka kimziki,sauti yake inafaa kulalamika tu,huwezi kuleta sauti ya kulalamika kuimba mambo mengine,si unaona ule wimbo aliorap ulipotea ndani ya week
mkuu umesahau ule wimbo wa BINADAMU WABAYA,
Panga....unaandika lakini?
Limekuchoma. Kale ndimu changanya na JIC ukiweza koroga na SHABU na tumavi kidogo vya ndomo unywe
Huo mbona sijasikia is like ni verse ndanu ya "ukimwona"
Ulihit?
Ulihit ila sio sana kwasababu haukua na video,
Ni wewe pekee ndiye unajua wangapi binadamu wabayaa!!
Ndugu rafiki nani anaroho safi nani ana roho mbayaa!!×2
mola nilinde niwe na upendo wa dhati wote niishi nao sawaa!!
Nilipoanza mzikii,tabu na dhikii,nilikutana na matatizo sanaa!!
Sikuwa rafiki,sithaminiki bado kidogo tu mi nikate tamaa!!
Wangu moyo,ulivumilia dharau na masimango iiiii!!
Mi wangu moooyo,ulivumilia dharau na manyanyaso diiii!!
Ile nahangaika usiku kuchwa naambulia patupu nilikuwa naumia!
Moyoni najipa moyo keaho nitakuwa maarufu mwisho wa siku nafuliaaa!×2
inaendelea........
Nyimbo zake za kulalamika ndo zinamfanya akae juu,imagine aimbe nyimbo zenye ujumbe tofauti
Nyimbo zake za kulalamika ndo zinamfanya akae juu,imagine aimbe nyimbo zenye ujumbe tofauti