Imevuja: Audio mpya Diamond akililia penzi la Wema

Imevuja: Audio mpya Diamond akililia penzi la Wema

Danny greeny

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2014
Posts
3,856
Reaction score
1,648
Imevuja hatimaye star wa kubinua vitako vyake kushoto na kulia kwa staili ya Mchuchumio Daimond Platinumz a.k.a Nassib Abdul ameimba wimbo wa kutoa machungu ya kukimbiwa na aliyekuwa mpenzi wake Wema. Wimbo huo umevuja leo na kuweka rasmi mtandaoni na Mtu Mzima SAM MISAGO Kupitia Tovuti ya Hulkshare.

UPDATE:
Habari za uhakika kutoka chanzo kilichovujisha huo wimbo inasema kuwa NDOMO Management wameuachia makusudi ili kuzima umaarufu wa Ally K 4 Real kwa video yake kuonekana katika Runinga maarufu za kimataifa.
 
Hahahaha tayari mshaanza kutafuta kick kwa kutumia jina la wema, hivi hamkomi tu.
 
Imevuja hatimaye star wa kubinua vitako vyake kushoto na kulia kwa staili ya Mchuchumio Daimond Platinumz a.k.a Nassib Abdul ameimba wimbo wa kutoa machungu ya kukimbiwa na aliyekuwa mpenzi wake Wema. Wimbo huo umevuja leo na kuweka rasmi mtandaoni na Mtu Mzima SAM MISAGO Kupitia Tovuti ya Hulkshare.

Hahahahahaaa! Mkuu umeniulia mbavu zangu!
Haya ngoja niusikilize.
 
Imevuja hatimaye star wa kubinua vitako vyake kushoto na kulia kwa staili ya Mchuchumio Daimond Platinumz a.k.a Nassib Abdul ameimba wimbo wa kutoa machungu ya kukimbiwa na aliyekuwa mpenzi wake Wema. Wimbo huo umevuja leo na kuweka rasmi mtandaoni na Mtu Mzima SAM MISAGO Kupitia Tovuti ya Hulkshare.

Umevuja ameuimba lini kwa maneno yako uliyabwaga?

Diamond akishasema uwa ana nyimbo nyingi anaimbaga wakati tofauti, sasa weka na tarehe ya siku amerekodi huu mwimbo tujue.

Anajulikana kwa kuimba nyimbobza mapenzi kwahiyo asiimbe nyimbo za matukio ya kila siku ya watu pia hata kama anaimbaga za maisha yake?
 
Weka tarehe ya alirekodi huu mwimbo lini na wapi umesikia akimtaja wema nipi dk katika mwimbo?
 
Umevuja ameuimba lini kwa maneno yako uliyabwaga?

Diamond akishasema uwa ana nyimbo nyingi anaimbaga wakati tofauti, sasa weka na tarehe ya siku amerekodi huu mwimbo tujue.

Anajulikana kwa kuimba nyimbobza mapenzi kwahiyo asiimbe nyimbo za matukio ya kila siku ya watu pia hata kama anaimbaga za maisha yake?

Limekuchoma. Kale ndimu changanya na JIC ukiweza koroga na SHABU na tumavi kidogo vya ndomo unywe
 
Maneno mazuri yanagusa wengi wanaopitia maisha ya mapenzi.

Diamond anaimba kuvutia watu na maisha yao kila siku.

Hivi daimond hana cha kuimbc kingne zaid ya mapenzi na kujamiana???? Au mpaka mabomu yalipuke gongo la mboto
 
Jibu maswali niliyokuuliza simple paaaaa

acha kujazia maneno na kudanganya watu.

Wimbo umevuja leo aliimba wiki moja baada ya birthday wema. Na inasemekana sina uhakika jamaa walizuia kuu release baada ya sinta kuwaambia Atawauzia Zari ili jamaa azidi kuosha nyota bila kujijua kuwa wanauziwa KIUMBE CHA KATUNZI
 
Hivi daimond hana cha kuimbc kingne zaid ya mapenzi na kujamiana???? Au mpaka mabomu yalipuke gongo la mboto

Ni apendavyo na ndivyo alivyopendwa kwa kusaidia roho za watu.

Unataka aimbie nini kama? weka atakusoma labda.
 
O
Wimbo umevuja leo aliimba wiki moja baada ya birthday wema. Na inasemekana sina uhakika jamaa walizuia kuu release baada ya sinta kuwaambia Atawauzia Zari ili jamaa azidi kuosha nyota.

Ok inajulikana wakati wa bday ya wema ndipo alipojua kuwa wema anachepuka na ilionyeshwa tukaona amepewa na bmw.

So hii kitu ni zamani na ma wiki kabla hata hajaamini kuachwa na wema na zawadi ya murano yake aliyomtuma mama yake akabidhi kudharauliwa na wema.

Kwa hiyo habari ndio hiyo aliachwa tunajua sio siri...na akaimba mwimbo huu. Ni sawa wengi wanaumia katika mapenzi.

Na sasa Mungu akambariki akampata Zari na natumaini yaliyopita yamepita kama binafamu wengine wanapo move on na maisha yao.

Tugange yaliyopo na yanayokuja sasa

Ila habari ya wema na Chibu ni za kale.

Wengi binadamu nao wana ma ex na sasa wana wapya na wako hapoy kama Diamond.
 
Back
Top Bottom