Imevuja: Audio mpya Diamond akililia penzi la Wema

Imbe wewe zenye ujumbe tofauti ili ukae juu kama yeye

Yuko juuu. Hahahaha.

Katoa nyimbo mbili ndani ya week ukijumlisha na hii ya tatu. Then uliza zimemfikisha wapi. Hata ile record ya views za youtube wapambe wake wako kimya MAANA NI AIBUUUU.
 
Umeona eeeee mond yuko juuuuuuuu na wamuacheee
 
Yuko juuu. Hahahaha.

Katoa nyimbo mbili ndani ya week ukijumlisha na hii ya tatu. Then uliza zimemfikisha wapi. Hata ile record ya views za youtube wapambe wake wako kimya MAANA NI AIBUUUU.

Mi najua Nana tu kwani kuna nyingine ameachia?
 
Kimbley manyotanyota yashaanza berlin umeyaonaaaa

aaargh!!we tulia mpaka dakika 45 kwanza ndio nitakwambia kama kuna manyotanyota au vipi,mapema sana kwa vijana wangu hawa kukata tamaa.
 
Last edited by a moderator:
Yuko juuu. Hahahaha.

Katoa nyimbo mbili ndani ya week ukijumlisha na hii ya tatu. Then uliza zimemfikisha wapi. Hata ile record ya views za youtube wapambe wake wako kimya MAANA NI AIBUUUU.

daaaah!!JUVENTUS,nakuona unavyofurahia hapo!!
 
Yuko juuu. Hahahaha.

Katoa nyimbo mbili ndani ya week ukijumlisha na hii ya tatu. Then uliza zimemfikisha wapi. Hata ile record ya views za youtube wapambe wake wako kimya MAANA NI AIBUUUU.

Huu mbina link imeandikwa umevujishwa, si siye yeye aliyeutoa. Wapili sio wake bali kashirikishwa na mwenye mwimbo akautoa. Wa kwanza ndio wake.

Na yote inasikika kama huu uliouleta humu upate promo tumeusikiliza. Ila sio yeye aliyeutoa.
 
Kumbe una chuki nae duh

Kwani yeye mwanaume wa kwanza kutoka na aliyezaa?

Chuki nae ananilipia hela ya kula au bila yeye siwezi ishi. Tatizo sio kuzaa bali huyo aliyezaa kazaa wangapi?

MBANANO awape wengine MPANUKO ampe Diamond hii dunia sio fair kabisa.
 
"Niache nilie kinachoniuma ni mazoea eeh , nilie siwezi kubisha nimekuzoea eeh"

Bonge la ujumbe KITAKO NYOKA a.k.a NDOMO katika ubora wakeeee

Hahahahahaaa mkuu leo mbavu zangu inabidi nitafute spair, hii siyo haki kabisa!
 
wimbo ni mzuri jamani mumuache mondi aimbe mapenzi hakunaga kama yeye anaedai mondi anaishiwa ANYE BOGA
 
Back
Top Bottom