Imetosha imetosha! Saa ya ukombozi inakaribia

Imetosha imetosha! Saa ya ukombozi inakaribia

Hilo hawalioni mkuu.

Ndoto yake inaweza kuumuza sana kwenye kampeni ijayo/zijazo iwapo.......
Lowassa ameshawahi kwenda kumjulia hali mjumbe mwenzake wa kamati kuu?
Mwenyekiti Mbowe yupo Machame anakunywa Mbege,ameshindwa kufika Kisongo
 
Huwez jua undani Na namna intelijensia ya chadema inavofanya mambo usiyoyajua yatakutoa povu mh.Lema yupo kimkakati zaid ujuavyo !mbaya zaid mh.lowasa kukubalika kwake kias chakukutoa povu ww ni namna watanzania wanavofaham mamilion ya watu hawa sio bure maana kila MTU naakili yake!Na ndio democracy wazo lako nikama tone la damu baharin halitaonekana !jifunze Na uendane Na Ecology;! Uko nyuma ya wakati mambo mengine nikijitia uchizi!
 
Back
Top Bottom