Imetosha imetosha! Saa ya ukombozi inakaribia

Imetosha imetosha! Saa ya ukombozi inakaribia

Narrow minded discus people.
Ukweli usikutese hivo mkuu!!

Jihadharini na watu wanaotafuta uongozi kwa njia za kuabudiwa na kuhududiwa!! Hawa watu ni hatari sanaaa

Ipo siku ukweli utageuka kuwa lulu
 
Mwanahabari unakumbuka wakati wa kesi ya Mh. Lisu upande wa serikali iliomba mahakama kutumia sheria za MAKABURU WA S.A ??!!. Sasa usishangae kwa Lema wamepata huo mwanya wa mchezo wa kukatiana rufaa kwao dili limewini. Na bosi wetu anapenda mambo ya hivyo ni mtu wa visasi.

Arusha haitabadilishwa kwa vitisho na mkwara wa kuwekana ndani. Ni kwa kazi nzuri kwa umma tu
 
Nipo chadema basi tu,ila Mbowe naamini alipewa hela kweli na Lowasa,.haina uficho kwamba lowasa yupo chadema kwa ajili ya uraisi
Ni hivyo tuuh mkuu ukweli ukuweke huru!
Wala usigeuka kichaa na kuweuka kuwa kilichofanyika 2015 ni halali wakati kitu haramu kabsaa.

Nashukuru kwa kuwa mkweli
 
  • UKWELI NI KWAMBA HATA MWANANCHI ASIYEKUWA MFUATILIAJI WA MAMBO YA SIASA ANAANZA KUJIULIZA MASWALI HAYA:
1. Hivi huyu Godbless Lema ni mtu gani?

2. Hivi ananguvu kumshinda Rais?

3. Hivi huyo Lema sio mtanzania?

4. Hivi siku akiachiwa gerezani nchi siitayumba?

HATARI YA MASWALI HAYO HII HAPA:

Siku mwananchi huyu akasikia tangazo Kwamba Godbless Lema atapanda jukwaani kuongea na wananchi. Ni wazi mwananchi huyu atatamani sana kwenda kumuona Lema,Mbaya zaidi ni pale mwananchi huyu atakaporogwa kumsikiliza Godbless Lema,sumu hiyo lazima ataipeleka kwa familia yake pia atawaelezea majirani zake kuhusu Lema nao watatamani kumuona na Kumsikiliza Lema.

You make people popular by detaining and holding them in prison. I'm afraid you'll never stand against them in the future because the Mass will be very desperate to see and hear from them.

Unawapa watu umaarufu unapowashikilia au kuwaweka gerezani. Wasiwasi wangu siku zijazo hutawamudu kwasababu Umma utakuwa na hamu kubwa kuwaona na kuwasikiliza.
Wazee waungwana na wazoefu wa siasa za kikaburu wanamtazama Mtume Lema kama shujaa mpya wa ukombozi na uhuru wa kweli , ambaye level yake iko sawa na magwiji ya ukombozi kama Mandela , Nyerere na Nkrumah.
 
Mato huwezi aminika wewe na umtu wa kuungaunga mambo. Kweli wewe leo uwajuongelea upinzani?. Mag3 kakukumbusha ulichowahi post.
 
Dah,ase so sad anavofanyiwa lema h nchi yetu sote,kwel ametenda kosa kubwa ivo na sheria ipo inayompa hukum au kumnyima uhuru kias iko? Sio vizur ase,nchi yetu huru embu tuendlee kuwa huru kam ilivyokuwa mwanzo,na sasa na siku zote ase!
 
Mwanahabari unakumbuka wakati wa kesi ya Mh. Lisu upande wa serikali iliomba mahakama kutumia sheria za MAKABURU WA S.A ??!!. Sasa usishangae kwa Lema wamepata huo mwanya wa mchezo wa kukatiana rufaa kwao dili limewini. Na bosi wetu anapenda mambo ya hivyo ni mtu wa visasi.

Arusha haitabadilishwa kwa vitisho na mkwara wa kuwekana ndani. Ni kwa kazi nzuri kwa umma tu
Nakuambia hivi , hii kesi inakwenda kuandika historia mpya ya sheria katika nchi hii , kuna watu watadhalilika kwa kiwango cha kujiuzulu uongozi wa juu .
 
Mwananchi mwenye akili hawezi kushabikia mbunge anayetafuta democrasia ya kutukana Matusi mitandaoni.
 
Kwa mada hizi:huu ni ushaidi tosha wa uzalendo wa mleta mada!anaipenda nchi yake na ni muumini wa demokrasia!anakosoa na kujenga kotekote bila kuangalia ukada na ukamanda!
Hata kama ni gamba ametoa yale yalio mioyoni mwa wengi mboe kiongozi wangu lazima ajitafakari upya chadema kama taasisi tumepoteza dira japo ni ngumu kuafiki lakini kuna misingi naona tumeicha katiba mpya hakuna,tume huru ya uchaguzi hakuna viongozi hawaoneshi hata nia ya kutuunganisha kwenye mapambano haya inauma sana kama ulikuepo kwenye harakati za mwanzo za chama
watu badala ya kushambulia hoja wanamshambulia mleta hoja!mleta mada ameandika kweli tupu!
 
Mato huwezi aminika wewe na umtu wa kuungaunga mambo. Kweli wewe leo uwajuongelea upinzani?. Mag3 kakukumbusha ulichowahi post.
Mkuu!! Mimi ni muumini wa kile ninachokiamini uwezi ukanibadilisha na mimi sina mda wa kumlaki na kumhusudu mtu kama hulka wetu wengi humu JF!

Mimi mtu akikosea nakemea akifanya vizuri lazima tuseme ukweli! Na hapa ndipo tunapoanza kutofautiana kwa sababu wengi kwenye hili jukwa wametumwa na mabosi wao. Kwahyo ukigusa tuuh ukweli kwenye maslahi ya watu lazima uonekane msaliti na utengenezewe mizengwe ya kila aina
 
wewe jamaa ni bure kabisa , watu wamekuwekea mandiko yako yote lakini bado unakomaa tu. CHADEMA inaweza kuwa na mapungufu yake lakini wa kutushauri siyo wewe. Unachokifanya hapa ni uchonganishi mtupu. Tafuta chama kingine ukichonganishe lakini siyo CHADEMA.
 
DAH, NIMESOMA KABLA SIJAKUELEWA VIZURI NDIO NAONA RECORD YA POST ZAKO, HONGERA SANA UNAJUA KUTUMIA LUGHA YA PICHA.
 
Mwananchi mwenye akili hawezi kushabikia mbunge anayetafuta democrasia ya kutukana Matusi mitandaoni.
Trump alimtukana Obama hadharani haikuwazuia wa America kumchagua na wala Obama hakutumia vyombo vya dola kumnyanyasa hili la kwetu la kutakiwa kumwabudu mtu inatoka wapi ?!
 
Back
Top Bottom