simon mato
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 926
- 485
- Thread starter
-
- #21
Ukweli usikutese hivo mkuu!!Narrow minded discus people.
Amin ipo siku hakuta kuwa na wakat wakutaja vyeo bali tulitekeleza vipi majukumu yetu hapa dunian hapo ndo tutalia na kusaga menoKwa kuota,
Nimejiuliza kosa la Lema na Mzee wa Bapa yana tofaut gani?
Na angeota kuwa jamaa atakua katibu mkuu UN angekamatwa?
Ha ha haHizi ni baadhi ya mada alizoanzisha simon mato toka ajiunge na JF Sep 27, 2015 akisimulia Ikulu ilivyo mahali takatifu baada ya kukaliwa na shujaa wake
Mwendelezo wa safari ya Rais Magufuli na demokrasia ya wapinzani - simon mato
SEHEMU YA TATU: SAFARI YA RAIS MAGUFULI NA DEMOKRASIA YA WAPINZANI - simon mato
Wanaomhujumu Rais Magufuli hawa hapa - simon mato
Mtandao hatari Tanzania unaoisaka Ikulu usiku na mchana - simon mato
Mazuri na mabaya kwenye Utawala wa Magufuli haya hapa - simon mato
List ya wanasiasa mashujaa wenye damu ya mageuzi Tanzania kwa sasa - simon mato
Hili ndio Bunge la Tanzania, watanzania tustuke - simon mato
CCM kushinda 2020 kwa kishindo, UKAWA kukumbwa na mtikisiko ambao haujawahi kutokea - simon mato
Uswahiba wa kisiasa kwanini huwa unaishia kwenye jino kwa jino? - simon mato
Naomba watakaomjibu wazingatie hii rekodi yake.
Ni hivyo tuuh mkuu ukweli ukuweke huru!Nipo chadema basi tu,ila Mbowe naamini alipewa hela kweli na Lowasa,.haina uficho kwamba lowasa yupo chadema kwa ajili ya uraisi
Wazee waungwana na wazoefu wa siasa za kikaburu wanamtazama Mtume Lema kama shujaa mpya wa ukombozi na uhuru wa kweli , ambaye level yake iko sawa na magwiji ya ukombozi kama Mandela , Nyerere na Nkrumah.1. Hivi huyu Godbless Lema ni mtu gani?
- UKWELI NI KWAMBA HATA MWANANCHI ASIYEKUWA MFUATILIAJI WA MAMBO YA SIASA ANAANZA KUJIULIZA MASWALI HAYA:
2. Hivi ananguvu kumshinda Rais?
3. Hivi huyo Lema sio mtanzania?
4. Hivi siku akiachiwa gerezani nchi siitayumba?
HATARI YA MASWALI HAYO HII HAPA:
Siku mwananchi huyu akasikia tangazo Kwamba Godbless Lema atapanda jukwaani kuongea na wananchi. Ni wazi mwananchi huyu atatamani sana kwenda kumuona Lema,Mbaya zaidi ni pale mwananchi huyu atakaporogwa kumsikiliza Godbless Lema,sumu hiyo lazima ataipeleka kwa familia yake pia atawaelezea majirani zake kuhusu Lema nao watatamani kumuona na Kumsikiliza Lema.
You make people popular by detaining and holding them in prison. I'm afraid you'll never stand against them in the future because the Mass will be very desperate to see and hear from them.
Unawapa watu umaarufu unapowashikilia au kuwaweka gerezani. Wasiwasi wangu siku zijazo hutawamudu kwasababu Umma utakuwa na hamu kubwa kuwaona na kuwasikiliza.
Kwenye list yako ya mashujaa wako hukumtaja Lema zaidi ya kina Makonda, leo eti uko huru kifikra ha hahaNi hivyo tuuh mkuu ukweli ukuweke huru!
Wala usigeuka kichaa na kuweuka kuwa kilichofanyika 2015 ni halali wakati kitu haramu kabsaa.
Nashukuru kwa kuwa mkweli
Nakuambia hivi , hii kesi inakwenda kuandika historia mpya ya sheria katika nchi hii , kuna watu watadhalilika kwa kiwango cha kujiuzulu uongozi wa juu .Mwanahabari unakumbuka wakati wa kesi ya Mh. Lisu upande wa serikali iliomba mahakama kutumia sheria za MAKABURU WA S.A ??!!. Sasa usishangae kwa Lema wamepata huo mwanya wa mchezo wa kukatiana rufaa kwao dili limewini. Na bosi wetu anapenda mambo ya hivyo ni mtu wa visasi.
Arusha haitabadilishwa kwa vitisho na mkwara wa kuwekana ndani. Ni kwa kazi nzuri kwa umma tu
Kwa mada hizi:huu ni ushaidi tosha wa uzalendo wa mleta mada!anaipenda nchi yake na ni muumini wa demokrasia!anakosoa na kujenga kotekote bila kuangalia ukada na ukamanda!Hizi ni baadhi ya mada alizoanzisha simon mato toka ajiunge na JF Sep 27, 2015 akisimulia Ikulu ilivyo mahali takatifu baada ya kukaliwa na shujaa wake
Mwendelezo wa safari ya Rais Magufuli na demokrasia ya wapinzani - simon mato
SEHEMU YA TATU: SAFARI YA RAIS MAGUFULI NA DEMOKRASIA YA WAPINZANI - simon mato
Wanaomhujumu Rais Magufuli hawa hapa - simon mato
Mtandao hatari Tanzania unaoisaka Ikulu usiku na mchana - simon mato
Mazuri na mabaya kwenye Utawala wa Magufuli haya hapa - simon mato
List ya wanasiasa mashujaa wenye damu ya mageuzi Tanzania kwa sasa - simon mato
Hili ndio Bunge la Tanzania, watanzania tustuke - simon mato
CCM kushinda 2020 kwa kishindo, UKAWA kukumbwa na mtikisiko ambao haujawahi kutokea - simon mato
Uswahiba wa kisiasa kwanini huwa unaishia kwenye jino kwa jino? - simon mato
Naomba watakaomjibu wazingatie hii rekodi yake.
watu badala ya kushambulia hoja wanamshambulia mleta hoja!mleta mada ameandika kweli tupu!Hata kama ni gamba ametoa yale yalio mioyoni mwa wengi mboe kiongozi wangu lazima ajitafakari upya chadema kama taasisi tumepoteza dira japo ni ngumu kuafiki lakini kuna misingi naona tumeicha katiba mpya hakuna,tume huru ya uchaguzi hakuna viongozi hawaoneshi hata nia ya kutuunganisha kwenye mapambano haya inauma sana kama ulikuepo kwenye harakati za mwanzo za chama
Mkuu!! Mimi ni muumini wa kile ninachokiamini uwezi ukanibadilisha na mimi sina mda wa kumlaki na kumhusudu mtu kama hulka wetu wengi humu JF!Mato huwezi aminika wewe na umtu wa kuungaunga mambo. Kweli wewe leo uwajuongelea upinzani?. Mag3 kakukumbusha ulichowahi post.
Trump alimtukana Obama hadharani haikuwazuia wa America kumchagua na wala Obama hakutumia vyombo vya dola kumnyanyasa hili la kwetu la kutakiwa kumwabudu mtu inatoka wapi ?!Mwananchi mwenye akili hawezi kushabikia mbunge anayetafuta democrasia ya kutukana Matusi mitandaoni.