Hiyo ni hali ya kawaida kwa learners katika haya maswala au kama una muda mrefu umefanya haya masuala.Yanachangiwa kwa kiasi kikubwa na msongo wa mawazo(performance anxiety).Vilevile usikamie saaaana,nenda mdogomdogo tu! ukitilia maanani kwamba ipo wala haiwezi kupotea.Jijenge kisaikolojia zaidi.Ikikushinda mwenyewe nenda kwa psychologist atakusaidia.Hilo tatizo ni la kisaikolojia zaidi kuliko medical