Imetokea kweli, japo bado siamini...

Kuwa mwanasiasa. Kule waweza danganya watu na zile chocolate zako za home made.

ahahahahhaha bora chocolate zangu za home made buddy!
kuliko ..............................................ah!ndo mana nasema uwakili siwezi tena!
 
Why would I even do that. Soul mate wanaweza kutenganishwa?

Hapo kwenye red u have ur own reasons na unazijua.
Soul mate hawawezi tenganishwa hata ufanyaje na mie the way na feel happy with my so called soul mate...........:A S-heart-2::A S-heart-2: yaani hunishawishi hata.
 
ahahahahhaha bora chocolate zangu za home made buddy!
kuliko ..............................................ah!ndo mana nasema uwakili siwezi tena!

Kazi ya uwakili niachie mie.

Though najua Kongosho akikurekodi kwenye kideo unafanya mambo fulani lazima utanitafuta tuu. lol
 
Last edited by a moderator:
EMT na sakapal ni hii habari ya soulmate tuu au???
mwantisha sasa!
EMT the case is overruled bana ,tukagawane mafao!kuna watu kibao wa kuwasue lol! sakapal my wee we jiliage raha na soulmate wako mwayego!

asante my wee snowhite kunisaidia maana EMT sjui hata anatafuta nn kwangu, maana naona anazidi kunchokoza kila kukicha labda ukimsema wewe ataacha looh!! mie hata simuelewi hadi soul mate wangu ameanza kuona wivu sasa, tena nakwambia ndo nazidisha malavidavi kwa soulmate EMT kachelewa na hataki kukubali hilo. Sjui nimueleweshe kwa kilugha chake???
 
Last edited by a moderator:
There we go. I'm getting there. lol

Alikuwa hajui kuwa wewe ni competitive?

Oukey, sasa nimekupata barabara. Kumbe wafanya competition na soul mate wangu ili weye uni-win...?!! looh dunia kweli inamambo na ishi uone mengi. Mie siwezi kupenda wawili nampenda huyuhuyu soul mate wangu, labda umloge yeye anikimbie ndo utanikuta wazi maana mie mambo ya kufanya the boy is mine na kufight for a guy siyawezi hata.
 
bhaelezeee bhajue bhapate kusikia!bhapate ukweli juu ya moyo! EMT bora tu ungejibakiaga kwenye home made chocolate zangu!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…