umeshachelewa rafiki, zama zangu za kuonewa zilishapita...Generali Ulimwengu alishawahi kuandika kuwa usahaulifu ni silaha ya mwonevu.
Kwa hiyo, kama kusahau ni ugonjwa wako, utakuwa unaonewa sana.
Aisee nitakuwa nakuja kukopa kwako kila mara.
Siwezi kusema nina memory ya kukumbuka kila kitu.
Kuna mambo mengi sana yanatokea kila siku ambayo ni vigumu kuyakumbuka yote.
It is OK kusahau. Lakini ukisahahu too much inaweza kuwa ni ugonjwa aka dementia
Kuna sababu mbalimbali zinazosababisha tusahau mambo mapema.
Lakini nafikiri sie tunaongoza kwa "motivated forgeting". lol.
kuna stories ambazo huwa naziona kuwa ni fix huwa na mimi nachangia kifix,Mie nilidhani mnajua na mnapenda kuchangia hizo stories.
umeshachelewa rafiki, zama zangu za kuonewa zilishapita...
siku hizi nina bonge la daftari, nalipitia kila siku kabla ya kulala, lol!
amesikia rafiki......Good way of remembering.
Naushauri akina sakapal wawe na daftari la kuandika threads zao kuepuka kudanganya au wasisahau walichodanganya. lol
amesikia rafiki......
siku nyingine atatuambia kuwa hii ya rafiki na hii yangu......
Hivi ikitokea kukawa na party ya wana jamii forum au mkutano utakaojumuisha wanajamii forum wote wanaochat na kuchangia mada mbalimbali humu jamvini tukaonana uso kwa uso na kuchangia hizi mada live itakuwaje? Navuta hisia sipati picha nikisalimiana na uporoto, nikicheka na kugonga na lizzy au nikichangia mada aliyoianzisha king'asti.
Wewe kama mwana jukwaa la jamii forum unafikiri kwenye hiyo part/mkutano watu wataanzisha mada kama hivi wanavoandika? Na pia watachangia na kutoa majibu kama haya wanayoandika? Unaweza fikiri umri utakuwa kuanzia rika lipi? Wazee, vijana, wanene, wafupi ...
Karibu uweke mawazo unayofikiri party ya jf itakavokuwa.
Kuweni Makini hapa mujinii wengi walaghaiiiiiii!!! Mapenzi ya mujini yamekuwa biziness wake kwa waume wote wana weknessNi jana tu my soulmate alipotimiza ahadi yake aliyokuwa akiniambia all days, this love, this love....:A S-heart-2:
Ha ha haaaaa! Hata mie ukiona nalia humu ujue kweli yamenikuta!
noted rafikiHa ha haaaaa! Hata mie ukiona nalia humu ujue kweli yamenikuta!
ha haaa, rafiki sakapal leo unalo kwa rafiki yangu EMT........waiting for his/her next thread.
But najiuliza why a person like sakapal would do this?
I will never know, but hii thread yake nyingine, sujui atakubali kujitokeza kwenye hiyo JF party?
It will be interesting to meet sakapal. lol
EMT unanivunja mbavu leo lol
Mentor, thanks sijisifii ila nashukuru kutambua kuwa am smart.
It ddnt happen in a day it was a long way till yesterday 12th of this April then I came to realise its realy soul mate. Our journey was full of ups and down and disappointments sometimes, but now we are at the peak of a mountain, we had the same flag.
Thanks for ur nice words and just wish me luck ahead..........
EMT, hii post yako imenifanya nikasome post nyingine nyingi za sakapal.........waiting for his/her next thread.
But najiuliza why a person like sakapal would do this?
I will never know, but hii thread yake nyingine, sujui atakubali kujitokeza kwenye hiyo JF party?
It will be interesting to meet sakapal. lol
siyo yeye rafikiI hope yeye siyo Wangu Mpenzi aliyeomba ushauri wa naniii yake kutoa unga mweusi. lol