Imetokea kweli, japo bado siamini...

Babu mimi nimekutangulia umri japo kwa miaka michache!
Shkamoo lakini.
 
Last edited by a moderator:
Paloma kweli umeshindikanika kwa matusi, ndio maana ulipokuwa mdogo ulimwambia baba yako, "baba mi nikiwa mkubwa napenda kuwa NUNGAYEMBE"

hahahahaaaaaaaaa....nungayembe tuuu,,,,,mimi ni zaidi ya hao manungayembe!!! si ndo mana ukanipeleka mtaroni!!!
 
Ahahaaaaa mi kikongwe ngoja nitulie mie
 
Sikiliza maneno ya Soulmate wako hapa
 

Attachments

Hongera sakapal kuwa Daktari wake, naye pia nampongeza kwa kupata tiba sahihi!.

Msikilize tena na hapa pia

Thanks for the nice song, ubarikiwe.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…