Imetokea kwa Dejan itatokea kwa Jamaa yetu!

MTAZAMO

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
19,643
33,427
Wakuu mliohitimu Cuba, kama Lunyasi walivyomfix mzungu ndivyo waarabu wa Uto watavyomfix jamaa yetu.

Jamaa yetu ni liability ambayo waarabu washaona itawatesa huko mbele. Kidogo kidogo akikosa attention atayavagaa kama "leta mzungu" biashara ifie hapo.

Uto wameamua kufanya kazi na watu professional na serious sio mbwigumbwigu!

Msemaji mpya katoa muongozo, "hatutaki maafisa habari maarufu kuliko wachezaji!" Kwa kauli hiyo alumni wa Cuba tukapiga ishara ya msalaba!

Hongereni uto, mbwilambwila zife tuongee mpira!
 
Eti kocha Juma Mgunda ana mkataba wa miaka mingapi na timu yenu? Au ndiyo anapiga kazi kama deiwaka, halafu mwisho wa siku mnata aifikishe timu yenu nusu fainali? Maana Wahindi ni janja janja sana.

Maana mko busy na masuala ya Yanga, huku ya kwenu yakiwashinda!
 
Mkuu huu uzi maalum wa pongezi kwa Uto usiharibu vibe
 
Eti kocha Juma Mgunda ana mkataba wa miaka mingapi na timu yenu? Au ndiyo anapiga kazi kama deiwaka, halafu mwisho wa siku mnata aifikishe timu yenu nusu fainali? Maana Wahindi ni janja janja sana.

Maana mko busy na masuala ya Yanga, huku ya kwenu yakiwashinda!
Mkuu kwani kumtania mtani wako ni makosa?

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Najaribu tu kuwakumbusha. Maana mna kale kaugonjwa kenu ka kusahahu matukio yenu kwa haraka.

Mwekezaji ameitelekeza timu! Ameamua kutafuta hela kwenye ndondi! Halafu mashabiki mko kimya tu! Ameanza kuondoka Mlete Mzungu! Mwisho wa siku na wachezaji wengine watashindwa kuvumilia njaa.
 
Eti kocha Juma Mgunda ana mkataba wa miaka mingapi na timu yenu? Au ndiyo anapiga kazi kama deiwaka, halafu mwisho wa siku mnata aifikishe timu yenu nusu fainali? Maana Wahindi ni janja janja sana.

Maana mko busy na masuala ya Yanga, huku ya kwenu yakiwashinda!
Mbona na wewe kutwa kucha kusema mambo ya Simba au kwa vile mkiwa huko mnajitoa ufahamu? Kweli nyani haoni kundule. Wewe post zako zote ni kuisema vibaya Simba na kuwakejeli wana Simba.
 
Hata siyo kweli. Halafu mimi nimewakumbusha tu.
 
Timu haina kocha wa kudumu alafu mnataka uyo kocha ambaye sio wakudumu awapeleke nusu fainali!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom