Imethibitishwa! Dereva hana makosa

baada ya bunge kutooneshwa sasa nafikiri na smartphones zinweza pigwa marufuku maana hazipitwi na jambo
 
Exactly, Taifa hili lina potenshol... yaani vipaji na wenye lugha taamu... wish tuunde club of
Sweet & sorrow ... Vijana wafaidike na kujifunza thru experience za wengine!!
Kessy go Kessy mwaga viyoja kwa wasaa ulonao....
 
Hao wapo kazini hawakoseagi roles zipo hivi:Roles no;

1.Mkubwa siku zote yupo sahihi huwa hakosei.Na

2.Ikiwa amekosea rejea role namba.1
 
Exactly, Taifa hili lina potenshol... yaani vipaji na wenye lugha taamu... wish tuunde club of
Sweet & sorrow ... Vijana wafaidike na kujifunza thru experience za wengine!!
Kessy go Kessy mwaga viyoja kwa wasaa ulonao....

At my excitement, enjoyment and pleasure
 
Hahahahaaaa as a transit leader just give me proposals of the project, once approved everyone will participate in making the club.
All the best.
Hapo sasa !! ntakutumia roadmap tukiifanikisha ntataka change mapema !!😛😛😛
 
Mbona siioni PT as a plate no. Au ndo ya nchi jiran
 
Ha ha haaaa...
Ni viroja sio vihoja
Sawa mwalimu, umetisha [emoji23] [emoji23] teh teh teh sasa tunategemea kuanzisha club.... Hebu jichagulie nyadhifa unayo fiti maana unaoneka unafaa
 
hatarii sana! Chanzo cha ajali ni mkandarasi aliyekosea kujenga Barabara, alijenga kwa kiwango cha Chini kiasi kwamba mvua ikinyesha Barabara inateleza
 
Sawa mwalimu, umetisha [emoji23] [emoji23] teh teh teh sasa tunategemea kuanzisha club.... Hebu jichagulie nyadhifa unayo fiti maana unaoneka unafaa
Mie mwalimu wa kusomea haswa na uzoefu wa kutosha. Tena mswahili Muunguja.
 
Mi mwenyewe huo urojo sili. I'll ukitaka tende na halua ntakuletea. Lakini mpaka hubby wangu mshana akitoa ruhusa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…