ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,661
Jamani naomba Msaada Ninahitaji sana kuitumia iMessage katika simu yangu ni Iphone 7 plus lakini nakuta nashindwa kufanya activation ya Hii iMessage Nifanyaje Tafadhari msaada!
nenda kwenye settings alafu shuka chini mappa kwenye messages, ingia alafu uiwashe on. just make sure umesign in your iCloud account kwani messages zinaweza kuja moja kwa moja Mwenge namba au kutumia your iCloud id.Jamani naomba Msaada Ninahitaji sana kuitumia iMessage katika simu yangu ni Iphone 7 plus lakini nakuta nashindwa kufanya activation ya Hii iMessage Nifanyaje Tafadhari msaada!
nenda kwenye settings alafu shuka chini mappa kwenye messages, ingia alafu uiwashe on. just make sure umesign in your iCloud account kwani messages zinaweza kuja moja kwa moja Mwenge namba au kutumia your iCloud id.
Hiyo isikupe shida mtu anayetumia iPhone na iMessages on Bado ataweza kukutumia iMessages na ukazipata
Sms yako nimeipata kureply ndio inakataa! na mtu kama hatumii iphone haiwezekani mfano mm kumtumia sms mtu anae tumia Android kupitia iMessage
IOS sucks