Huyo mwanamme, kama ningekuwa mie, ningetimka asilani. Kama mwanamme anakubali kushiriki mapenzi bila kondomu, na hata kama alivaa kondomu ikapasuka, basi ajue anawajibika moja kwa moja. Asiyetaka mimba hafanyi mapenzi.
Na hii dhana ya kuwa mwanamke ndio ajikinge tu na mimba is for weak men, wanamme wa kweli wanawajibika na wao kuwakinga wenza wao wasipate ujauzito, inapotokea hutafuta suluhisho la pamoja. Hakuna mtoto abayezaliwa na jinsia moja, kwa hiyo hakuna jinsi ambavyo jinsia moja ione haiwajibiki au imechezewa trick, lame excuse.
Mwanamme anayeshindwa kuchukua wajibu wa mimba aliyoshiriki kuipata alizaliwa kimakosa, hiyo sperm ilipotea kabisa, bora ingeenda zalisha mhogo watu tukala kripsi tu, tena na pilipili ya unga.
Usithubutu kutoa mimba aisee, heri dhambi moja kuliko mbili, Muwe na reservation ya mapenzi, kufikiri kuwa mtu anakupenda kama unavyompenda wewe ni kujidanganya.
Mwanachuo mzima ushindwe lea katoto kamoja? Hivi wengine mmekulia wapi?
Naona ni mie tu nimekulia kwenye mikiki mikiki, huu umayai unatoka wapi?
Kwa hiyo unashawishika kutoa?
Mwanachuo mzima ushindwe lea katoto kamoja? Hivi wengine mmekulia wapi?
Naona ni mie tu nimekulia kwenye mikiki mikiki, huu umayai unatoka wapi?
Kwa hiyo unashawishika kutoa?
Sio kila chuo ni kama ulivyofikiria,penginee yupo VETA anasonea kusuka nywele
Wapendwa msinielewe vibaya nimetoa mtazamo wangu tu jinsi ninavyolichukulia jambo hilo, kama kwa wengine ni sawa then its ok, ila kwangu mimi sipendezwi. kokongosho, isha
Sio kila chuo ni kama ulivyofikiria,penginee yupo VETA anasonea kusuka nywele
hili ndio tatizo la jamii yetu...we dnt want to say the truth. kuzaa nje ya ndoa ni shameful thing and shuld be viewed that way. tumekuja ona kitu cha kawaida na ndio maana inaendelea kuwepo.
secondly huyo dada yako ni irresponsible....kuzaa azae yeye kulea walee grandparents....loh
Shameful on what grounds?! Watu kama nyinyi ndo huwa mnawakana ndugu zenu kisa wameenda kinyume na jamii, learn to embrace your mistakes and learn from them. In btw, my parents are very happy to have the opportunity to raise their grandchild because we are all grownup and away from home so having a young child running around the house gives them joy.
Habari wanaMMU,......
Nimekua nae kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitatu, nampenda na niliamini ananipenda pia.
Mwezi huu nimejigundua kuwa Nina ujauzito wake, niliopomwambia anadai nitoe kwa kisingizio kuwa mimi niko shule( niko chuo kikuu).
Nikamjibu sitaweza, akanambia sawa ila yeye hatakua anawajibika kwa chochote kwa kuwa hataki kuwa na mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa
......naumia sana nikiwaza jinsi nilivyompenda na kumuamini, na sielewi ntalea vipi huyu mtoto bila ya baba yake
hapana, yeye yuko kazini
miaka mitatu!???......ujauzito wake!!???.......ni wewe Queen Kan nimjuaye umemwandikia mtu!???
mbona umeshtuka
mbona umeshtuka