Imeniuma sana

Kwahiyo anataka ukamchumbie huyo mshkaji mwanachuo ili yeye umuache aende zake?​
 
Ata mm nilimnyang'anya mshikaji aliyekuwa nae dogo alikuwa form six nahis yamenikuta
Ndio ivo kutesa kwa zam ulimkwapua kwa wa form six kaibiwa na wa chuo [emoji23][emoji23][emoji23]tena si ajab zayoni nakushauri tafuta mpunga tu ndio suluhisho lasivyo kaa pembeni.
 
Mapenzi na shule haviendani. Subiri ukue.
 
Kwahiyo wewe ni mzuri?
 
[emoji23][emoji23]yan jamaa yupo chuo anataka serious relationship??

Hapo aendelee kupiga tu kumaliza nyege zake wala asimweke demu akilini,

Daaa itamchukua mda sana jamaa kua malaya aisee
Hahahahahhaha baharia kwenye ubora wako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…