Wakuu i hope mko poa ..
Nilikuwa napiga story za hapa na pale na baby akaniambia kuna mshikaji mwanachuo anamtongoza na kumtumia pesa kilichoniuma ni kwamba anadai mshikaji ni mzuri kuliko mimi, wakuu hapa nina changu au nijikatae mapema maana km mm simvutii na sitoagi pesa zaid ya kulipia msosi na lodge.
Vijana hawakawii kujirusha ghorofani ngoja nitege sikio siku mbili huko dar Ni ngoje mrejeshoubaya kama alikuwa amepigilia kimoyo chake kwa misumari kwamba hapo ndo amefika, kujing'oa hapo utasikia mrejesho huku tu.
Hahahaa demu keshaliwa sioHapo hauna mwanamke. Anza kutumia condom
Aaah sio kweli mi mwenyewe demu wangu aliwahi kuniambia Sura yangu afadhali ya Remmy Ongala.. Soon Nikachezwa.. sahivi yupo na mwana mwingineAmekupemdea hiyo sura yako mbaya ndio maana yupo nawe... Anataka kukutia wivu tu kwenye hilo
Hahaa demu atampa??Kula Boom kwanza la uyo boya.. Kua master minder then usi sahau kinga[emoji23]
Amto.mbe sana kabla ya hapo.. ikiwezekana amfire kabisaLet her go
Pumbavu
hakika siku mbili hizi ni muhimuVijana hawakawii kujirusha ghorofani ngoja nitege sikio siku mbili huko dar Ni ngoje mrejesho
Anakera huyo chalii[emoji23][emoji23][emoji23]imenibidi nipoz hapa kwanza
Duuuhhujaijua saikolojia ya wanawake kumbe....pengine umri wako,..bado mdogo....ila kiufupi wanawake huwa hawaonyeshi dalili za kukupenda .... na ukiona amekuonyesha dalili za kukupenda haraka haraka ujue anakuibia....ila anaye kupenda kwa dhati lazima atakuwekea uzio mfano...unaweza kumuuliza unapenda mwanaume wa aina gani...mwanamke akakujibu sifa za mwanaume ambae wewe huna sifa hizo pengine akakwambia anataka mwanaume mwenye kifua hali ya kuwa wewe huna kifu...au akakwambia anapenda mwanaume mfu hali ya kuwa wewe ni mrefu...
kwa kifupi lazima uwaelewe wanawake kuwa ni watu ambao wanafanya kitu ili kukuangalia au kukupima kuwa kweli una moyo wa kiume..? sasa mzee umetegwa kidogo umetegeka...hapo unaweza ukaachwa usipokuwa makini...!
Nmechapa sana miaka miwili imepita[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2]mkuu keshaliwa teyar huyo aiseee anakuzuga tu hapo nawe chapa sepa usifukue makaburi ya wenzio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anakera huyo chalii
ππ½ββοΈππ½ββοΈππ½ββοΈ[
Hahahaa demu keshaliwa sio
Aaah sio kweli mi mwenyewe demu wangu aliwahi kuniambia Sura yangu afadhali ya Remmy Ongala.. Soon Nikachezwa.. sahivi yupo na mwana mwingine
Hahaa demu atampa??
Amto.mbe sana kabla ya hapo.. ikiwezekana amfire kabisa
Unaishi nae karibu au ndio yale mapenz ya kuhamia dodoma kama serikali?Nmechapa sana miaka miwili imepita