Amekupemdea hiyo sura yako mbaya ndio maana yupo nawe... Anataka kukutia wivu tu kwenye hilo[emoji13][emoji13]Na hapo kwenye uzuri nitajirekebisha vp sasa
Uzuri we mwanaume unautaka wa nin? Kama Upo kwenye kweny mashindano ya ulimbwende, hapo sawa![emoji13][emoji13]Na hapo kwenye uzuri nitajirekebisha vp sasa
Usifanye mambo kumfurahisha mwanamke lazima utaishia kuwa shoga. Unataka uwe mzuri ili iweje? Kamuone James Delicious atakufundisha kuwa mzuri. Unatia huruma sana, UKITAKA KUYAFURAHIA MAISHA, TUMIA AKILI.[emoji13][emoji13]Na hapo kwenye uzuri nitajirekebisha vp sasa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2]mkuu keshaliwa teyar huyo aiseee anakuzuga tu hapo nawe chapa sepa usifukue makaburi ya wenzio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakuu i hope mko poa ..
Nilikuwa napiga story za hapa na pale na baby akaniambia kuna mshikaji mwanachuo anamtongoza na kumtumia pesa kilichoniuma ni kwamba anadai mshikaji ni mzuri kuliko mimi, wakuu hapa nina changu au nijikatae mapema maana km mm simvutii na sitoagi pesa zaid ya kulipia msosi na lodge.
kweli hapo huna chako ni kama kutafuta bikra leba ya uzazi mzee baba.Wakuu i hope mko poa ..
Nilikuwa napiga story za hapa na pale na baby akaniambia kuna mshikaji mwanachuo anamtongoza na kumtumia pesa kilichoniuma ni kwamba anadai mshikaji ni mzuri kuliko mimi, wakuu hapa nina changu au nijikatae mapema maana km mm simvutii na sitoagi pesa zaid ya kulipia msosi na lodge.
ushauri muhimu kinoma unaweza pewa mkopo wa nyumba.Hapo hauna mwanamke. Anza kutumia condom
ubaya kama alikuwa amepigilia kimoyo chake kwa misumari kwamba hapo ndo amefika, kujing'oa hapo utasikia mrejesho huku tu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2]mkuu keshaliwa teyar huyo aiseee anakuzuga tu hapo nawe chapa sepa usifukue makaburi ya wenzio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]