ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 44,199
- 50,920
Unajua hayo makao makuu yamepatikanaje ?Kwani hata bomba la mafuta si walitaka liende Kenya? Hao aliwaweza Magu, huyu mama hopeless
Acha kumtusi Rais wewe fala.Ni Samia amewezesha Arusha kuwa Makao Makuu ya Baraza la Michezo Afrika.Kwani hata bomba la mafuta si walitaka liende Kenya? Hao aliwaweza Magu, huyu mama hopeless
Nchi yoyote isiyo na demokrasia (Katiba mpya na Tume Huru ya uchaguzi) haiwezi kupewa kipaumbele kwenye jambo lolote , subirini moto zaidiKama Serikali Kuna mahala inafeli sana. Tanzania sisi tuna timu 2 Maarufu za Simba na Yanga Afrika nzima ambapo Kwa kofua hiyo ilitakiwa Serikali na TFF itumie ku lobby Ili Makao Makuu ya Taasisi hizi za Kimataifa yawe Arusha.
Arusha ndio centre ya Utalii Tanzania na ni jirani na Miji yote Mikuu ya EAC lakini tayari ni Makao Makuu ya Baraza la Michezo la Afrika, inakuaje tumepitwa na hii fursa ya kuwa makao Makuu ya Vilabu Afrika?
Kenya Haina lolote kwenye soka ila imetuoiga bao kwenye hii lobbying,why?
Serikali jifunzeni kufanya Promo ya Miji yetu yenye hadhi ya Kimataifa,hakuna kitu kinakuja bila lobbying.
Kiufupi imeniuma sana na imenikera.
We unajua?Unajua hayo makao makuu yamepatikanaje ?
Fala mwenyewe, tusi ni lipi hapo? Kwani yeye ni wa kwanza kuwa hopeless? Mbona hata JK alikuwa hopeless na alisemwa ili ajirekebishe?Acha kumtusi Rais wewe fala.Ni Samia amewezesha Arusha kuwa Makao Makuu ya Baraza la Michezo Afrika.
UpuuziNchi yoyote isiyo na demokrasia (Katiba mpya na Tume Huru ya uchaguzi) haiwezi kupewa kipaumbele kwenye jambo lolote , subirini moto zaidi
Mfano wako ni wa kipuuziUpuuzi
Demokrasia na Katiba Mpya vimeshindwa Kuzuia wizi huko Kenya achilia mbali kuleta msosi mezani.
View: https://twitter.com/BD_Africa/status/1731599221692993773?t=lzNj6bkvEYMJ_dAYUXEX3Q&s=19
Ni kama huo upuuzi wenu wa Katiba Mpya na blaa blaa kama hizoMfano wako ni wa kipuuzi
Mentality za kijamaa nazo ni shida tupu.International organization yeyote ile ita prefer Kenya over TZ anyday. TZ is very conservative inahitaji kubadilisha mindset za wadanganyika wajue Dunia sio kisiwa you have to work with other.
Balozi zote zinafunga milango yao bongo zinahamia Kenya. They easily serve EAC yote tokea Kenya ila sio bongo.
Changamoto nyingi sana bongo.
Watz wengi mna akili za kijinga sana.Kwani hata bomba la mafuta si walitaka liende Kenya? Hao aliwaweza Magu, huyu mama hopeless
Wewe umejiuliza hayo maswali unayouliza kwamba nimejiuliza?Watz wengi mna akili za kijinga sana.
Aliye kwambia CAF wapo kwa ajili kufanya maamuzi kwa misingi ya kunufaisha nchi fulani kisiasa na kiuchumi ni nani?
Kabla hujajiuliza hizo ofisi kupelekwa kenya badala ya Tz, kwann kwanza ujajiuliza ni kwann hawaja zipeleka hizo ofisi nchini Misri, Morocco,Ghana, Cameron, s.africa au Algeria ambao ndo magiant ya mpira barani Africa?
Watz tupunguze ujuaji wa kipumbavu.
Magu alikuwa shetani mkubwaKwani hata bomba la mafuta si walitaka liende Kenya? Hao aliwaweza Magu, huyu mama hopeless
Shetani aliyejenga Bwawa la Rufiji?Magu alikuwa shetani mkubwa