Imeniuma sana hii kitu

Mbona unaamini watu wa pembeni kuliko kipenzi chako? Unajuaje kuwa hayo unayoambiwa ni kweli? Labda mtu anataka muachane.


Umeuliza nilipopataka! Yaani unasema unampenda mtu halafu humwamini! Huyu atakuwa hajitambui!
 
hapana unajua kuna inshu zinakela sana mkuu maana mtu nilishampa nafas ya kunieleza yote lkn akanificha unafikil alikua anafikilia nn
Mkuu ngoja nikuulize vitu vichache1. Hebu jiweke kwenye nafasi ya huyo dada, halafu yeye nafasi yako, Kisha akuulize ulishawahi kutoa mimba? Jibu lako lingekuwaje?????2. Kwa kipindi chote mlichokaa pamoja, umemwona anafaa au hakufai, je kuna issue yoyote mbaya zaidi ya hii ya taarifa uloisikia kutoka kwa huyo mdogo wa x wako?3. Je, hiyo taarifa ina chochote cha kuchangia katika mustakabali wa maisha yenu ya baadae...4. Je, mnapofanya tendo la ndoa mnatumia kinga ama anakupatia tu hivi hivi, ikiwa ndio, amekuamini km alivyomwamini yule x wake inaweza tokea ajali, kwa hiyo ile ni ajali kazini na si suala la kumlaumSasa basi, ndugu endelea na huyo mdada. Ni heri mavi ya kale hayanuki, ilitokea jamaa mmoja alioa mwanamke bikra, sasa alipomzindua baada ya ndoa ikawa balaa mwanamke akawa anataka kwa kila mtu. Siamini ikiwa taarifa ulopewa ni sahihi, lakini pia kama alikwambia sio, ndio jibu alotakiwa kukupa hata kama ingekuwa ni kweli.take it ease na msonge mbele.
 

utajiju!
 
Huyo msichana ni mzuri sana na kama huamini muache na Mungu atampatia mume materia na sio wewe unae saka umbea ofisini
 
Aya mambo ya kuulizana background yamepitwa na wakati. Wewe anza kuhesabu apo ulipo anzia
 
Mleta mada naona keshamchoka mwenzie so anatafuta sababu za kumwacha. Mwache huyo dada atapata anayemstahili.
Kwanza unakaaje na shemejio mnaanza kujadili siri za mpenzio? Nyinyi ndio wale siri za nyumbani mnazidiscuss bar na washkaji zenu.
Hufai kuwa mume wewe...hunaakili kabisa.
 
Mkuu naan ngik-kundie , wahenga walishasema "ukimchunguza sana bata hutaweza kumla", stop wasting today by lamenting on the deeds of yesterday. As long as you two are a couple and u do happily love each other then that's what matters the most.
 
Last edited by a moderator:
Kwani cha ajabu kipi? We hujawahi kumpa mwanamke mimba ambayo haikutarajiwa?
Unatumia condom miaka yote ya maisha yako...?

Si bora alotoa kuliko aliezaa akamtupa?





 
Ukimchunguza sana bata huwezi kumla mkuu
 
Yaan mambo alopitia akiwa kwa relation ya nyuma we yanakutoa roho...acha utoto alafu mwanaume jiamini ukimpata dem stor za nyuma hazikuhusu
 
Soga soga mbele wala usichoke katika kumpenda
 
Embu tuangalie hizo scenario halafu utakuwa kwenye position Nzuri ya kujua kama anafaa Au hafai

1. Let's assume ange kwambia ukweli kuwa alifanya abortion. Maamuzi yako yangekuwa yapi by then? Kama usinge muacha basi hata sasa usimuache,kama unge muacha basi jaribu kufanya comparison kati ya sababu zako za kumuacha na namna ambavyo amekuwa gf bora Kwako Mpaka sasa

2. Baba yangu alisha wahi niambia kuwa ukipata uthibitisho wa kizazi cha Mwanamke kuwa na uwezo wa kubeba mimba ni jambo jema sana.Wewe una bahati umepata huo uthibitisho huo kwa njia rahisi na isiyo na pulukushani.Be positive, look on the good side of the situation and don't be negative.Hiyo ina maana huyo ana uwezo wa kuwa na watoto considering the fact that ugumba umekuwa ishu,unless kama kazitoa nyingi ila kama ni moja tu sio ishu
 
kwa hiyo we unamwamini nani? mchumbako au huyo mtoa taarifa.....?
 
kama ndo mm culz ningeleta fedback kwamb mwenzen hm kimenuka
 
we ulishatupa ngapi unazokojolea watoto wa watu hovyo
 
Kwani cha ajabu kipi? We hujawahi kumpa mwanamke mimba ambayo haikutarajiwa?
Unatumia condom miaka yote ya maisha yako...?

Si bora alotoa kuliko aliezaa akamtupa?

hakuna cha nafuu hapo wote wauwajiiii....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…