Imeniuma sana hii kitu

Imeniuma sana hii kitu

naan ngik-kundie

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2014
Posts
1,766
Reaction score
2,435
Kuna msichana nimekuwa nae kwenye mahusiano kwa mda wa mwaka moja sasa, kuna jamaa wake wa kipindi cha nyuma ambaye walikua naye kwenye mahusiano ana mdogo wake tunafanya nae kazi ofsi moja sasa siku moja katika kupiga story na yule jamaa yaani mdogo wake na x boyfriend wa mchumba wangu akanivujishi inshu kua et kaka yake kipindi bado ana relation na huyu G friend wangu waliwah ku abotion.

Jamani hiyo ishu imeniuma sana mpaka sasa nashindwa nini cha kumfanya maana niliwahi kumuuliza mapema sana kama ana mtoto au aliwahi kutoa mimba lakini akanikatali katakata.

Jamani waungwana huyu ananifaa kweli?
 
Hahahahahahha...mkuu pole sana,ni kwel inauma haswa kama ulishampa nafas yakujieleza
 
Huyo hakufai hata yako anaweza kuchoropoa pia au pengine ameshachoropoa
 
Songa mbele wewe acha kuchunguza chunguza kama FBI
 
anakufaa ndugu yangu,kwani wewe umemdanganya mangapi,yaliopita si mbele kaka.
 
hayo ndio matokeo ya kuchunguza kupita kias.
Mnachunguza wakat hamna vifua haya sasa umeupata ukweli fanya maamuzi ya kiume bas sio kutuchosha hapa.
 
Mama na baba wa watoto marehemu nw days wapo weng sana..mbaya zaidi ukute aliharibu mifumo yote ya uzazi.by da way PAST IS Irelevant
 
miaka yako mkuu?? ivi kwani ulimkuta bikra?? na kama ulishamuuliza akakujibu hapana we unachunguza taarifa kwa watu wa pembeni wa kazi gani?? we songa mbele bhana
 
We nae usituchoshe. Watu wazima mumekaa kujadili ya zamani. Yanakuhusu nini?

hapana unajua kuna inshu zinakela sana mkuu maana mtu nilishampa nafas ya kunieleza yote lkn akanificha unafikil alikua anafikilia nn
 
Mapenzi safari yake ni pale mnapoanzia na kuendelea,ya nyuma yote hayakuhusu.
 
Mbona unaamini watu wa pembeni kuliko kipenzi chako? Unajuaje kuwa hayo unayoambiwa ni kweli? Labda mtu anataka muachane.
 
Ukimchunguza kila alacho bata huwezi kula nyama yake acha usukunuku.
 
Kwa kweli alichokuwa anafikilia siwezi kujua ila you sound very immature. Umbea tu ndo maana ofisini kazi haziendi.
 
kuna msichana nimekuwa nae kwenye mahusiano kwa mda wa mwaka moja sasa, kuna jamaa wake wa kipindi cha nyuma ambaye walikua naye kwenye mahusiano ana mdogo wake tunafanya nae kazi ofsi moja sasa siku moja katika kupiga story na yule jamaa yaani mdogo wake na x boyfriend wa mchumba wangu akanivujishi inshu kua et kaka yake kipindi bado ana relation na huyu G friend wangu waliwah ku abotion!!!!
jaman hiyo inshu imeniuma sana mpaka sasa nashindwa nn cha kumfany maana niliwah kumuliza mapema sana kama ana mtoto au aliwahi kutoa mimba lakini akanikatali katakata, jaman waungwana huyu ananifaa kwel?

Ukiamua kuingia we ingia,ukisikiliza ya pembeni hutafika na huyo mtu..hawezi kukwambia aliyofanya na mtu wake wa kale kwa sababu yatakuvunja moyo,yanaweza kuwepo makubwa zaidi ya hayo na mbaya zaidi watu hao wakikutana mahali wako peke yao ww haupo lazima wa do japo hupaswi kufatilia hayo iwapo umeamua kuingia kwa mtu unaejua ni wapi ametoka
 
kuna msichana nimekuwa nae kwenye mahusiano kwa mda wa mwaka moja sasa, kuna jamaa wake wa kipindi cha nyuma ambaye walikua naye kwenye mahusiano ana mdogo wake tunafanya nae kazi ofsi moja sasa siku moja katika kupiga story na yule jamaa yaani mdogo wake na x boyfriend wa mchumba wangu akanivujishi inshu kua et kaka yake kipindi bado ana relation na huyu G friend wangu waliwah ku abotion!!!!
jaman hiyo inshu imeniuma sana mpaka sasa nashindwa nn cha kumfany maana niliwah kumuliza mapema sana kama ana mtoto au aliwahi kutoa mimba lakini akanikatali katakata, jaman waungwana huyu ananifaa kwel?

Mi nadhani anakufaa ila wewe ndio humfai na ni bora umuache hadi utakapokua.
 
Badilisha hiyo akili kijana, kila moja ana past na haikuhusu kwakweli, kama ali abort na she made peace with it who are you kuanza kumuingilia mwenziyo hivyo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom