Imeniuma nakunisikitisha sana

Imeniuma nakunisikitisha sana

Kwanza nasikitika kwamba kwa mujibu wa maelezo yako unapenda lu-act kwa kubase kwenye monong'ono

Pili nasikitika unapoonyesha wazi kumlaumu huyo kaka kwamba kama minong'ono ni kweli basi atakuwa amemuambukiza huyo mdada...Questions!!
1. Huyo dada alitolewa bikira huyo mkaka?..kama sio ina maama kuwa alishafanya na wengine
2. Huyo kaka ndo mtu wa kwanza au wa mwisho kuumwa hiyo kitu?..jibu ni hapana walioathirika wapo wengine ambao wanaweza kumwambukiza mdada kabla na baada ya kuanzana na huyo mkaka
3. kuna mtu yeyote aliyempima huyo dada wakati anaanza kazi hapo home kwenu na kuthibitisha kwamba hajaambukizwa? no!!
4. Kuna ushahidi kuwa anatembea na huyo kaka peke yake? kwamba kama ni maambukizi hawezi kuyatoa kwingine?

tuombe hiyo minong'ono isiwe na ukweli rafiki














umemaliza mkuu pokea manual like
 
Akapime ila kulala na mtu aliye athirika na maradhi hayo siyo guarantee kuwa nae kaungua.
 
Jf bwana Mimi sijamnyanyapaa mtu alichoniuzi nikumuambukiza makusudi inamaana hakutumia kondom ndio maana huyu bidada anapresha ya mimba, waathirika wa vvu sasa hivi wanaambukiza watu makusudi wakielezwA ukweli wanajidai wansnyanyapaliwa inauma kwa kweli kuuwa makusudi kwa vigezo uchwara eti kunyanyapaliwa

pengine kamjazilizia katika alivyokuwa navyo awali
 
asa we utaenda kumpima kama nan asee!! anyway kama sijaielewa mada itabid tu unikaushie
 
Hata Wewe Siri Za Bwanako Ulienae Huzijui Zote.Unaweza Kukuta Kuna Watu Wanakuonea Na Wewe Huruma Mara2 Hata Ya Huyu Dada.
Kwahiyo Endelea Na Maisha Yako.Kila Mtu Atabeba Furushi Lake Mwenyewe.

N.B:siku nyingine katika uandishi wako husisahau tena kutuwekea nukta ili angalau tumeze mate.

Dah!!wewe mtu ni shida sana,kweli kiepe yai kama jina lako linavyoesema
 
Back
Top Bottom