Mmmhhh whats so special with jumatatu? Tena wakati wa kwenda kazini.... mmmhhh!!! bora ungesema jioni.
Halafu crush nnavojua mimi hazipangwi zinakuja zenyewe tuu, hiyo unayosema wewe ni date...🙂
Wakati wa kwenda kazini kwasababu sipendi siku ya jtatu
Mmmhhh u seems to have blue monday all over, let the crush be crush and not a date. Kama ile ya nissan guy daah!! Wee zisome rada zangu kisha uset m crush hapo utanibamba. Ila ukinigonga makusudi nakuwaga mtata barabarani, utajuta kunifahamu looh manake naongea chiriku kasingiziwa
That is kidnapping u know......!!
sawa babaa ngoja crush ije automatically na si ya kupanga hapo ntakufata kwa hiari
mmmh huko kutakua kubembeleza au utakuaSiku ukilia uniite inspector laddy,nitakubembeleza mpaka utacheka usiku mzima!