imeniuma kula kitoweo bila kaugali pembeni

Mafuta kibao, kuku umemkaanga..... why usingemchoma ? Ungeagiza hata ndizi 2

Besides kuna wadau watakuja kukuambia unahangaika na ugali bado hujajipata, na ugali sio chakula !
 
I shall never entertain such kind of backwardness.
Mwanaume mzima unapost chakula kwenye mitandao 😏
Labda ni kwasababu huko Kenya kuna chakula kidogo inaonekana ni luxury

Tanzania ni vitu vya kawaida sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…