Lady N JF-Expert Member Joined Nov 1, 2009 Posts 1,914 Reaction score 134 Oct 20, 2010 #21 daha!!! kweli dunia inaelekea ukingoni
pmwasyoke Platinum Member Joined May 27, 2010 Posts 5,023 Reaction score 3,889 Oct 20, 2010 #22 Rutashubanyuma said: Hospitali zinao uwezo wa kuurudisha ulimi kama utakuwa umenyofolewa ndani ya masaa ishirini na manne tu. Kwa hiyo huyo atakuwa amechelewa tu Click to expand... Hata hapa kwetu Tanzania Mkuu?
Rutashubanyuma said: Hospitali zinao uwezo wa kuurudisha ulimi kama utakuwa umenyofolewa ndani ya masaa ishirini na manne tu. Kwa hiyo huyo atakuwa amechelewa tu Click to expand... Hata hapa kwetu Tanzania Mkuu?
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,994 Reaction score 5,234 Oct 20, 2010 #23 Duh...Kumbe wanaume tuko watamu hivi?Nilikuwa siamini ila leo nimeamini,yaani mpaka watu wanafikia kutoana ulimi!!!!!!!Pole zake mhanga wa tukio hilo mungu atamtia nguvu na kumponya haraka.
Duh...Kumbe wanaume tuko watamu hivi?Nilikuwa siamini ila leo nimeamini,yaani mpaka watu wanafikia kutoana ulimi!!!!!!!Pole zake mhanga wa tukio hilo mungu atamtia nguvu na kumponya haraka.
Speaker JF-Expert Member Joined Aug 12, 2010 Posts 6,324 Reaction score 2,244 Oct 21, 2010 #25 aaaaaah,hatujazoea jamani mambo ya kutoana damu msiweke madude haya hapa please