mmmh yani kabisa unakula nyama ya binadam mwenzio?:A S-frusty😀unia imekwisha
kuna watu wako tofauti sana
Jamani huu unyama gani tena this is so bad yaani what wivu wa mapenzi? huyo aliyemg'ata anatakwia selo hata kupiga kura hatuhitaji kura yake...such as barbaric act!

haaaaaaaaaaaaaaaa duh, dada pearl shikamooo na samahani kwa kwenda nje ya topic.