Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 12,534
- 21,024
Leo sijui atasuluhisha akina naniYaani ukifatilia mambo ya Katibu Mwenezi Paul Makonda utaishia kucheka tu. Sometime hata kupatwa na hasira au huzuni.
Katibu Mwenezi hana ajenda wala hajajipanga. Anajitwangia tu.
Tumesikia Mwanasheria akilalamika kuhusu utendaji wake. Si yeye tu wapo wanachama wengi wenye heshima zao ndani ya chama hicho wamekosoa mienendo ya kile kinachoitwa uenezi.
Tulitarajia Awe na Agenda zinazogusa Maslahi ya Wananchi kama vile
1. Hali ya Uchumi kudorora
2. Utitiri wa kodi na kupanda bei za bidhaa
3. Maendeleo ya huduma za kijamii hasa Maji, Umeme na Afya
4. Elimu bora na maIngira bora ya watendaji hasa walimu.
5. Utawala wa Haki, Sheria na kuzingatia Katiba.
Badala yake akikuta daraja limeanguka analivaa.....akikuta barabara imejaa vumbi analo.
Akikuta Eng wa Nkoa kagombana na mke wake basi yeye anakuwa msuluhishi.
Mimi naona kama Katibu Mwenezi ame loose focus na kukosa Mwelekeo.
Kama Chama kingekuwa kinategemea Kura kurudi madarakani basi huu ndio Ungekuwa Mwisho wa Uhai wa ccm.
Ikiwa na maana ganiIkabodi ndo jina sahihi la kuwapa CCM
Utukufu wa Mungu umeondolewa na wamebaki makapi. Ni Kiebrania hikoIkiwa na maana gani
Bongo movie....haweI kujenga hata choocha shule sasa anatatuaje kero?Jamaa anapambana sana anasikiliza kero za wananch jambo ambalo hata rais hafanyi anapita nyayo za magu mule mule
Jiwe zuri sanaaa gizani walahi kama chamani hakuna wenye akili wala busara watamuacha apuyangee tuuu....hakimubyeye mwanasheria yy...msuluhishi yeye..Yaani ukifatilia mambo ya Katibu Mwenezi Paul Makonda utaishia kucheka tu. Sometime hata kupatwa na hasira au huzuni.
Katibu Mwenezi hana ajenda wala hajajipanga. Anajitwangia tu.
Tumesikia Mwanasheria akilalamika kuhusu utendaji wake. Si yeye tu wapo wanachama wengi wenye heshima zao ndani ya chama hicho wamekosoa mienendo ya kile kinachoitwa uenezi.
Tulitarajia Awe na Agenda zinazogusa Maslahi ya Wananchi kama vile
1. Hali ya Uchumi kudorora
2. Utitiri wa kodi na kupanda bei za bidhaa
3. Maendeleo ya huduma za kijamii hasa Maji, Umeme na Afya
4. Elimu bora na maIngira bora ya watendaji hasa walimu.
5. Utawala wa Haki, Sheria na kuzingatia Katiba.
Badala yake akikuta daraja limeanguka analivaa.....akikuta barabara imejaa vumbi analo.
Akikuta Eng wa Nkoa kagombana na mke wake basi yeye anakuwa msuluhishi.
Mimi naona kama Katibu Mwenezi ame loose focus na kukosa Mwelekeo.
Kama Chama kingekuwa kinategemea Kura kurudi madarakani basi huu ndio Ungekuwa Mwisho wa Uhai wa ccm.
Inataka kufana na " Mene mene....Tekel...naUtukufu wa Mungu umeondolewa na wamebaki makapi. Ni Kiebrania hiko
HahaaaaJiwe zuri sanaaa gizani walahi kama chamani hakuna wenye akili wala busara watamuacha apuyangee tuuu....hakimubyeye mwanasheria yy...msuluhishi yeye..
.mtuhumiwa yeye khaaaa kichekeahoo
HahahaaaaAgenda yake ni Chadema, Mbowe na Lissu. Pumbavu sana hili nyamitako
Hahahaaa.....wauliza maswali wa MchongoAnadeal na matukio ya kuhadaa wananchi, na hakubali maswali ya msingi. Huwezi kuona kulizwa kuhusu kero ya umeme, Wala kupanda kwa gharama za maisha. Hiyo inamaanisha Bado wanacheza na siasa za kiki na hadaa, huku wakiandaa nyomi fake linalopatikana kwa nguvu ya Dola. Fuatilia vizuri hata chawa humu ndani wanajikita kwenye nyomi na sio agenda, maana wanajua hakuna agenda Bali ni kijitekenya na kucheka wenyewe.
Lucas mwashambwa ChoiceVariable
Magu ndio bingwa wa maigizo ya hivyo, ndio maana ilipofika wakati wa uchaguzi ikabidi apore uchaguzi, maana alijua matokeo ya kweli itakuwa fedheha kwake na chama chake. Yaani utembee na msururu wa magari yote hayo ya serekali kwenda kuwa msulihishi wa ndoa! Angetatua changamoto za umeme, maji, afya, gharama za maisha hapo angalau. Lakini hayo yote yanafanyika kwa mwendo wa kinyonga.Jamaa anapambana sana anasikiliza kero za wananch jambo ambalo hata rais hafanyi anapita nyayo za magu mule mule
Ujasiri unaujua wewe mnapokuwa faragha. Unampa sifa kuliko hata mkewe wa ndoa,kweli michepuko na nguvu kuliko wenye mali.Unaelewa ziara ya Mheshimiwa mwamba mwenyewe na Jabali wa siasa na jasiri kusini mwa jangwa la sahara Mheshimiwa Makonda imelenga nini? Imedhamilia nini?
Ngoja nikujibu kwa ufupi tu kulingana na ufupi wa akili yako.
Ziara ya Mheshimiwa Makonda ina lengo kwanza la kukagua utekelezaji wa ilani ya chama.kwa hiyo chama kina angalia namna miradi mbalimbali inayotekelezwa,kasi yke katika utekelezaji wa miradi pamoja na kuangalia uwajibikaji wa viongozi na watendaji wa serikali katika utekelezaji wa majukumu yao.
Sio kazi yake hiyo yaan katibu mwenezi aje kutatua changamoto ya umeme waziri yuko wapi? Naibu wzir yuko wapi?Magu ndio bingwa wa maigizo ya hivyo, ndio maana ilipofika wakati wa uchaguzi itabidi apore uchaguzi, maana alijua matokeo ya kweli itakuwa fedheha kwake na chama chake. Yaani utembee na msururu wa magari yote hayo ya serekali kwenda kuwa msulihishi wa ndoa. Angetatua changamoto za umeme, maji, afya, gharama za maisha hapo angalau. Lakini hayo yote yanafanyika kwa mwendo wa kinyonga.