ZENITH
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 1,057
- 973
Kuna mwarabu mmoja mkoani moro alikuwa anamkimbiza mwizi aliyemwibia kitu fulani.Basi alipoona hakuna dalili za kumkamata,akaingiza mkono mfukoni huku akikimbia ili atoe bastola!duuh!si ndo akavuta trigger kwa bahati mbaya wakati bastola ikiwa bado mfukoni!.
Kilichomtokea ni yeye mwenyewe kujilabua risasi ya paja,hivi sasa yuko hospital anauguza jeraha la paja.
Kilichomtokea ni yeye mwenyewe kujilabua risasi ya paja,hivi sasa yuko hospital anauguza jeraha la paja.