Imekuaje wanaume mmepunguza kuhonga

Kuna nn tena my sis....mwanaume gani tena hahongi huko....ila wanaume wanataka sababu ya kuhonga hawahongi hovyo tu
Mpe sababu ya kukuhonga onhooo
Lamomy njoo utoe semina elekezi huku
Mwanaume mpk akuhonge aone umekidhi vigezo vya kuhongwa. Yeye ajiulize tbs wamemkagua km anahongeka?!
Huna hata mia afu unataka upewe laki kwa kazi gani haswaaa!!! 🤣🤣🤣🤣
 
Uzuri ni kwamba hela zinaenda kwa wenye hela.. wewe kama huna zako endelea kupambana na hali yako😃😃😃
Kabisa jirani!! Nowadays hakuna mwanaume anahonga mwanamke asiye na pesa.
Kifuatacho ukipewa ni kuombwa kwa mama kibonge kwa mbele kule 🤣🤣🤣
 
Kabisa jirani!! Nowadays hakuna mwanaume anahonga mwanamke asiye na pesa.
Kifuatacho ukipewa ni kuombwa kwa mama kibonge kwa mbele kule 🤣🤣🤣
Ndo hivyo jirani🤣🤣,, unakuta analalamika haongwi halafu account yake haina hata 1m... anahongwa nini mtu kama huyo,, si ashukuru hata hiyo 50k aliyolipwa😃😂😂😂😂🙌
 
Ndo hivyo jirani🤣🤣,, unakuta analalamika haongwi halafu account yake haina hata 1m... anahongwa nini mtu kama huyo,, si ashukuru hata hiyo 50k aliyolipwa😃😂😂😂😂🙌
🤣🤣🤣🤣 Tutafute pesa jirani.
 
Mbunye kitu Cha kawaida sana kimboka tunanunua hatuhongi
 
Sana yaani
Kuna Ile raha unaipata ukishika pesa yako uliyoitafuta kwa uchungu
Sasa 50k ni kitu ya kuhongwa kweli
Mbona anatutia aibu huyu
Ukiwa na pesa inapunguza hata papuchi kukutana na vitu visivyo size yake 🤣🤣🤣
Huyo hana tofauti na wa sate sauzandi
 
Sana yaani
Kuna Ile raha unaipata ukishika pesa yako uliyoitafuta kwa uchungu
Sasa 50k ni kitu ya kuhongwa kweli
Mbona anatutia aibu huyu
Yani anatudhalilisha sio siri 🤭🤭😂
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…