TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 15,206 Reaction score 25,399 Mar 24, 2023 #1 π Mimi bado najifunza tabia ya mwanadamu. Na
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 72,994 Reaction score 102,833 Mar 24, 2023 #2 Rwanda inatumia bilioni 200 kutangaza Utalii kwa Mwaka kupitia PSG, Arsenal. Rwanda hupokea misaada ya kibajeti zaidi ya Trilioni 1 Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Rwanda inatumia bilioni 200 kutangaza Utalii kwa Mwaka kupitia PSG, Arsenal. Rwanda hupokea misaada ya kibajeti zaidi ya Trilioni 1 Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Sang'udi JF-Expert Member Joined May 16, 2016 Posts 9,374 Reaction score 22,992 Mar 24, 2023 #3 Diplomasia
F fazili JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 17,285 Reaction score 23,584 Mar 24, 2023 #4 TODAYS said: π Mimi bado najifunza tabia ya mwanadamu. View attachment 2563638 Na View attachment 2563640 Click to expand... Nchi ambazo zinahangaika kujenga matundu ya vyoo hazipaswi kutoa msaada kwa nchi matajiri.
TODAYS said: π Mimi bado najifunza tabia ya mwanadamu. View attachment 2563638 Na View attachment 2563640 Click to expand... Nchi ambazo zinahangaika kujenga matundu ya vyoo hazipaswi kutoa msaada kwa nchi matajiri.
TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 15,206 Reaction score 25,399 Mar 24, 2023 Thread starter #5 Sang'udi said: Diplomasia Click to expand... Diplomasia ni kujenga mahusiano mazuri nje wakati kwako hali si nzuri au mimi ndiye sijui?.
Sang'udi said: Diplomasia Click to expand... Diplomasia ni kujenga mahusiano mazuri nje wakati kwako hali si nzuri au mimi ndiye sijui?.
Sang'udi JF-Expert Member Joined May 16, 2016 Posts 9,374 Reaction score 22,992 Mar 24, 2023 #6 TODAYS said: Diplomasia ni kujenga mahusiano mazuri nje wakati kwako hali si nzuri au mimi ndiye sijui?. Click to expand... Magufuli alitoa msaada Msumbiji walipopatwa na kimbunga, unakumbuka?
TODAYS said: Diplomasia ni kujenga mahusiano mazuri nje wakati kwako hali si nzuri au mimi ndiye sijui?. Click to expand... Magufuli alitoa msaada Msumbiji walipopatwa na kimbunga, unakumbuka?
TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 15,206 Reaction score 25,399 Mar 24, 2023 Thread starter #7 Sang'udi said: Magufuli alitoa msaada Msumbiji walipopatwa na kimbunga, unakumbuka? Click to expand... But ndiyo napata swali, wakati wewe una shida inawezekana ukatoa msaada kwa mwenzako kwa kigezo cha diplomasia?
Sang'udi said: Magufuli alitoa msaada Msumbiji walipopatwa na kimbunga, unakumbuka? Click to expand... But ndiyo napata swali, wakati wewe una shida inawezekana ukatoa msaada kwa mwenzako kwa kigezo cha diplomasia?
Bufa JF-Expert Member Joined Mar 31, 2012 Posts 13,655 Reaction score 28,828 Mar 24, 2023 #8 TODAYS said: But ndiyo napata swali, wakati wewe una shida inawezekana ukatoa msaada kwa mwenzako kwa kigezo cha diplomasia? Click to expand... Ndiyo.
TODAYS said: But ndiyo napata swali, wakati wewe una shida inawezekana ukatoa msaada kwa mwenzako kwa kigezo cha diplomasia? Click to expand... Ndiyo.