Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 18,683
- 22,270
Unajua maana ya ubia na Serikali
Viwanja hivyo vitasaidia Serikali kuongeza Mapato kupitia ubia
ACHA KUPOTOSHA MAPATO YOTE YANAENDA CCM KULIPA MISHAHARA WATENDAJI WAKE ni Matumizi mabaya ya Kodi za Wananchi CCM INAPATA RUZUKU KUBWA BUNGENI kwanini unitumie Kukarabati Viwanja inavyodai ni vyake?Unajua maana ya ubia na Serikali
Viwanja hivyo vitasaidia Serikali kuongeza Mapato kupitia ubia
Kabla ya ubia yalikuwa yakienda CCM moja kwa mojaMapato yanayokusanywa katika hivyo viwanja yanaenda wapi?
TANU au CCM haijawahi kujenga Kiwanja chochote hapa Nchini Viwanja vimejengwa na Wananchi na Serikali Wananchi Wamechangishwa Mifugo mazao na Pesa CCM imejimilikisha kwa Nguvu Viwanja hivyo Busara Viwe vya Serikali au HalmashauriImekaa hiv viwanja ni mali ya ccm ndio ilijenga chadena hawajenga hata uwanja mmpja ofis tu imewashinda kujenga pili serikal inapata mapato asilimia flan inaenda kwenye mapato ya serikal tatu serikal inataka afcon ichezewe tanzania nne ni jukumu la serikal kuboresha mazingira ya viwanja nchin
Serikali ilikwisha acha kufanya biashara, serikali pia ina maslahi ndani ya CCM ndiyo sababu imejipa fedha kukarabati viwanja vyao badala ya kuvirudisha serikalini.Unajua maana ya ubia na Serikali
Viwanja hivyo vitasaidia Serikali kuongeza Mapato kupitia ubia
Wakati wananchi walipokuwa wanavijenga viwanja kwa ajili ya mzunguko wa sherehe za kitaifa za Sabasaba wewe haukuwepo duniani yaani ulikuwa haujazaliwa, sasa Chadema imeingiaje humo! Pia wakati tunapata Uhuru kila mji ulikuwa na viwanja vya mpira vya serikali ambavyo hivi sasa eti ni mali ya CCM.Imekaa hiv viwanja ni mali ya ccm ndio ilijenga chadena hawajenga hata uwanja mmpja ofis tu imewashinda kujenga pili serikal inapata mapato asilimia flan inaenda kwenye mapato ya serikal tatu serikal inataka afcon ichezewe tanzania nne ni jukumu la serikal kuboresha mazingira ya viwanja nchin
Ccm irejeshe viwanja vya michezo ilivyojimilikisha kinyemelaYaani unataka michezo isiendelezwe kabisa
Unaweza kutofautisha tanu na ccm ni shiling moja yenye pande mbili ukisema tanu wamejenga na sio ccm na wana tanu ndio walichangia pesa za kujenga uko sahihi tanu baadae ikawa ccm kwa kauli moja tuseme wanatanu ndio walichangia baadae ikaja ccm kwa hiyo tunakubaliana ni mali ya ccm ambayo zaman ilikua tanu.sawasawaaTANU au CCM haijawahi kujenga Kiwanja chochote hapa Nchini Viwanja vimejengwa na Wananchi na Serikali Wananchi Wamechangishwa Mifugo mazao na Pesa CCM imejimilikisha kwa Nguvu Viwanja hivyo Busara Viwe vya Serikali au Halmashauri
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Tanu ndio walijenga na tanu ndio ikazaa ccm ni lugha flan hiv mpaka uwe na akili timamu ndio utaelewa kwanini ccm na tanu ni kitu kimoja chadema imeingia sababu ni moja ya chama cha siasa kinachopokea michango ming sana kila siku lakin hakimiliki hata jengo moja tafaut na tanu au ccm ambayo wamewaletea watanzania viwanjaWakati wananchi walipokuwa wanavijenga viwanja kwa ajili ya mzunguko wa sherehe za kitaifa za Sabasaba wewe haukuwepo duniani yaani ulikuwa haujazaliwa, sasa Chadema imeingiaje humo! Pia wakati tunapata Uhuru kila mji ulikuwa na viwanja vya mpira vya serikali ambavyo hivi sasa eti ni mali ya CCM.
Kwani kuna shida?Hii imekaaje kwa Serikali kutumia pesa za umma kukarabati viwanja ambavyo CCM ilishirikiana na serikali kupora viwanja vya umma ambavyo ni wazi CCM wameshindwa kuvitunza na sasa CCM inataka kutumia pesa za umma kuvikarabati, haiingii akilini CCM ambayo kila mwezi inachukua mabilioni ya pesa za umma baada ya kujipa ushindi wa viti vyote vya wabunge na madiwani kutuambia haina uwezo kuvikarabati.
Hii haikubaliki ni hujuma.
Kabla ya ubia yalikuwa yakienda CCM moja kwa moja
Baada ya ubia Serikali itaanza kupata mgao