Password
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 777
- 1,082
HABARI WAKUU NATUMAINI MU WAZIMA NYOTE
Leo katika kupitia habari za kila siku kwenye magazeti nimekutana na habari hii kwenye gazeti la MWANANCHI katika safu ya "Leo katika historia" ikieleza kama ifuatavyo
1945: chama cha labuor party cha marekani kiliibuka kidedea katika uchaguzi mkuu uliofanyika julai 5,1945.ushindi huo ulitoa nafasi kwa chama hicho kushika dola huku kiongozi aliyekuwa madarakani kwa muda Winston Churchill kuangushwa.
Swali:hivi Winston Churchill alikuwa waziri mkuu wa uingereza au rais wa marekani au pia marekani walikuwa na Winston Churchill au ndio magazeti ya mwendokasi.(samahani wakuu kila nikijaribu kuweka picha nashindwa ila kaweka attachment)