Imekaaje hapa. . . . . ?

MagicM

Member
Joined
Sep 19, 2011
Posts
80
Reaction score
7
Habari zenu wana Jf

Leo kuna ki2 nngependa kukifahamu. . . . .
Kuna watu wanasema ya kwamba Mwanaume mmoja ana Akili ya wanawake 28 (ishirini na nane) ikimaanisha ana akili zaidi ya mwanamke. .
Swali linakuja je kuna wanaume ambao manalelewa, wengne wanachofanya na mishahara yao hakieleweki kabisa pia kna wengine wabishiiii halafu hawapendi kuelekezwa wala kuambiwa mana wanajifanya wanajua zaidi. . . . . .
Je hawa wana akili zaidi ya wanawake 28 au hawana kabisa na dawa yao nn ili wajirekebishe. . .?
 
Ili linanichanganya kidogo 1 kwa 28? Sizani kama ni kweli na ni mashaka nalo.
 
Hivi mwanaume ukiwa na akili za Wema Sepetu 28 si balaah hilo...
 
Inamaana mchumba wangu binti salt namzidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…