pendael neno WANAWAKE AKILI HAWANA halijakaa vizuri sana! Tusifanye inclusion hatutawatendea haki , binafsi tatizo huwa naliona kwetu sisi wanaume na asikudanganye mtu wanawake wana 'kifua'
pendael neno WANAWAKE AKILI HAWANA halijakaa vizuri sana! Tusifanye inclusion hatutawatendea haki , binafsi tatizo huwa naliona kwetu sisi wanaume na asikudanganye mtu wanawake wana 'kifua'
hapana baba,sie tuna akili na ndio maana tukapewa maagizo ya kuishi nao kwa akili, mf mwanaume mmoja alikuwa anasafari na kaaga vizuri nyumbani akaondoka kwa bahati isikokuwa nzuri safari haikuwezekana tena akarudi nyumbani,wakati huo mkewe ameshamchukua kijana aliekuwa anatembea nae akamuingiza chumban wakati wanaendelea na mambo yao mumewe kaja,akili ya haraka iliomjia yule mwanamke ni kumuwekea sum kwenye juisi,hatimae mumewe kafa kwaajili ya kuficha fumanizi. sasa ndio akili hiyo?