Imefika Muda EWURA itenganishwe.

BUSAMUDA

JF-Expert Member
Nov 12, 2014
612
358
EWURA ni regulator wa Maji, Nishati, Umeme na Mafuta. Sasa imefika Muda tuwe na Regulator Wa Nishati Separate na Regulator wa Maji separate. Ukiangalia mashirika na makampuni mengi yanayosimamiwa na EWURA yana Hali mbaya sana. Angalia Mamlaka za Maji tulizonazo na angalia Shirika la umeme, angalia Matukio ya uchakachuaji mafuta.
---------
Kazi ya EWURA ni pamoja na kuyasaidia mashirika haya kujiendesha Kwa kutoa ushauri wa kitaalamu. Sasa EWURA yetu kila Siku wanafikiri Kupandisha bei tu.
---------
Nilikuwa sehemu Fulani nafanya presentation nilipoeleza Kazi ya EWURA Jamaa mmoja akasema your Regulator must be weak sasa naanza kuona.
 
Back
Top Bottom